Hajjmofi (@hajjmofi) 's Twitter Profile
Hajjmofi

@hajjmofi

Accountant Treasurer✍️
Financial consultant&analyst
Always be closing(ABC)
God above all(GAA)🙏
mãñchester utd fan❤

ID: 1247837784624312320

calendar_today08-04-2020 10:45:38

2,2K Tweet

2,2K Takipçi

4,4K Takip Edilen

HeadBoy - SEO (@yunusi_jr) 's Twitter Profile Photo

Unafanya kazi mjini unaenda kupanga chumba Kimara ndani ndani..kisa unakimbia kodi kubwa mjini Ukipiga mahesabu Nauli + Nguvu ya kugombania gari + Uchovu...Unaweza kupata chumba mjini kizuri

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Kutoka kuitwa Mheshimiwa ama Boss mpaka kuitwa Marehemu, kutoka kuvaa cheni za Dhahabu na vidani vya Almasi mpaka kuveshwa Mataji, kutoka kutupia Pamba kali mpaka kuwekwa pamba puani. Kutoka kupokelewa VVIP Airport mpaka kusubiriwa sehemu za mizigo ili Jeneza lako liwasili,

Nape Moses Nnauye (@nnauye_nape) 's Twitter Profile Photo

Una rafiki ambaye amewahi kukushauri jambo lolote la maendeleo ukaliafanya na likawa(Inspirational friend)?? Kama huna tafuta, piga chini waliopo🤣🤣🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️

m.s.a.k.i+ (@raphyrodrick) 's Twitter Profile Photo

Bila hawa washkaji wanaouzaga chapati na maharage barabarani na hawa wanaouzaga kuku choma basi maisha ya sisi mabachela nyakati za usiku yangekua magumu sana.

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Baada ya miaka mitatu maeneo ya Kibaha kutakuwa hakushikiki watu wanawekeza kwa kasi sana, Azam wanakamilisha ujenzi wa studio zao pale noma sana, kuna viwanda kama vinne vinajengwa kwa pamoja. Barabara ya Loliondo kwenda kutokea Bagamoyo kule wanaichonga, Nomaa

🇩 🇾 🇦 🇧 🇦 🇱 🇦 🇹🇿 (@dyabala01) 's Twitter Profile Photo

Hizi ndizo first eleven II bora zilizofanya vizuri Katika nyakati tofauti tofauti kwenye soka barani ulaya kwenye hii karne ya 21 Threads 🧵 Barcelona (2009)

Hizi ndizo first eleven II bora  zilizofanya vizuri Katika nyakati tofauti tofauti kwenye  soka  barani ulaya kwenye hii karne ya 21

Threads 🧵

Barcelona (2009)
Nihed Design (@niheddesign) 's Twitter Profile Photo

MR BEN Tunaizungumzia Mtumba yenye:- 1. Ikulu - Chamwino 2. Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 3. Ofisi ya Waziri Mkuu 4. Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora 5. Wizara mbalimbali za serikali kuu 6. Tume ya Utumishi wa Umma 7. Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) 8.Tume ya Mipango