HAICCO TANZANIA (@haiccokilimo) 's Twitter Profile
HAICCO TANZANIA

@haiccokilimo

Farm Survey & Management | Installation of Farm structures & systems | Supply of Agricultural inputs | Supply of Seedlings | Trainings.

ID: 1161746012924448771

linkhttps://haicco.co.tz calendar_today14-08-2019 21:06:48

101 Tweet

210 Followers

390 Following

HAICCO TANZANIA (@haiccokilimo) 's Twitter Profile Photo

Je Unahitaji kuanzisha Bustani Nyumbani kwako? au Unayo lakini unakosa muda wa kuimwagilia? HAlCCO ndio JIBU Lako, tumekuja na #offer kabambe 💪 Kwa ajili Yako, Kwa sh 400,000 tu tunakuanzishia Bustani hapo nyumbani kwako na kukufungia Mfumo mzima wa umwagiliaji wa matone.

Je Unahitaji kuanzisha Bustani Nyumbani kwako? au Unayo lakini  unakosa muda wa kuimwagilia?
HAlCCO ndio JIBU Lako, tumekuja na #offer kabambe 💪 Kwa ajili Yako,
Kwa sh 400,000 tu tunakuanzishia Bustani hapo nyumbani kwako na kukufungia Mfumo mzima wa umwagiliaji wa matone.
HAICCO TANZANIA (@haiccokilimo) 's Twitter Profile Photo

No farmer should be left behind, we should all be engaged in the process of improving Agriculture production. Welcome at HAlCCO the home of Modernized Agriculture. #farmingquotes #farming #agriculture #nofarmersnofood

No farmer should be left behind, we should all be engaged in the process of improving Agriculture production.

Welcome at 
HAlCCO the home of Modernized Agriculture.

#farmingquotes #farming #agriculture #nofarmersnofood
HAICCO TANZANIA (@haiccokilimo) 's Twitter Profile Photo

Tunaipongeza Serikali yetu Kwa Uzinduzi wa program ya kuimarisha utoaji huduma ya ugani katika sekta ya kilimo Moja kati ya #agenda1030 ni Kuongeza Mchango wa Sekta ndogo ya umwagiliaji kwenye Uzalishaji wa mazao ya kilimo kutoka asilimia 10 za sasa kufikia asilimia 50 by 2030

Tunaipongeza Serikali yetu Kwa Uzinduzi wa program ya kuimarisha utoaji huduma ya ugani katika sekta ya kilimo
Moja kati ya #agenda1030  ni
 Kuongeza Mchango wa Sekta ndogo ya umwagiliaji kwenye Uzalishaji wa mazao ya kilimo kutoka asilimia 10 za sasa kufikia asilimia 50 by 2030
HAICCO TANZANIA (@haiccokilimo) 's Twitter Profile Photo

Je unahangaika kupata ushauri wa kitaalamu? @haicco_tanzania tunakupatia ushauri na kusaidia wewe mkulima kupata mazao mazuri kuanzia uandaaji wa shamba, dawa za kutumia na njia mbalimbali za kitaamu zitakazo kuletea matokeo mazuri. Karibu sana. # kilimo #haicco #agriculture

HAICCO TANZANIA (@haiccokilimo) 's Twitter Profile Photo

Msimu huu wa mvua andaa Bwawa la kutunzia maji mengi ya kutumia msimu wote wa kiangazi kwa mabwawa ya kisasa, popote ulipo tunakufikia karibu @haicco_tanzania tukuhudumie.😊

HAICCO TANZANIA (@haiccokilimo) 's Twitter Profile Photo

Irrigation can help farmers reduce dependence on rainfed agriculture and improve crop yields. Investing in modern irrigation systems such as drip irrigation and sprinkler irrigation can help farmers save water, reduce costs, and increase crop yields.