habibu salimu (@habibusalimu) 's Twitter Profile
habibu salimu

@habibusalimu

Registered Pharmacist 👨‍⚕️ 💊 Husband, Entrepreneur & lifetime learner.

ID: 2464364298

calendar_today26-04-2014 09:19:50

361 Tweet

192 Followers

332 Following

yangrafix (@yangrafix) 's Twitter Profile Photo

Hello my name is Yassir/ yangrafix, Iam a 19 years old artist from Zanzibar Island Tanzania 🇹🇿 it took me 80 hours to complete this, my dream is that he sees this post 😭 I have tried a lot on Instagram, I hope this will work, please help tagging Steve Harvey #SteveHarvey 😭

Hello my name is Yassir/ yangrafix, Iam a 19 years old artist from Zanzibar Island Tanzania 🇹🇿 it took me 80 hours to complete this, my dream is that he sees this post 😭 I have tried a lot on Instagram, I hope this will work, please help tagging Steve Harvey #SteveHarvey

Said Machimbo (@pharmmachimbo) 's Twitter Profile Photo

It was a great opportunity to attend 10th IFPS African Pharmaceutical Symposium; With a great Panel discussion on Impacts of emerging AI and Genomics in pharmaceutical evolution and drug develoment. Castory Munishi Charity Alphonce #10thAfPS2022 #AfricainTanzania

It was a great opportunity to attend 10th IFPS African Pharmaceutical Symposium; With a great Panel discussion on Impacts of emerging AI and Genomics in pharmaceutical evolution and drug develoment.
Castory Munishi
Charity Alphonce      #10thAfPS2022       #AfricainTanzania
habibu salimu (@habibusalimu) 's Twitter Profile Photo

I was super excited to learn #personalbranding in an event organized by ⁦Fatema Dewji⁩ and collecting lots of valuable lessons from ⁦Given Edward⁩ ⁦Idris⁩ ⁦msanii⁩ , ⁦Anthony LUVANDA⁩ and the organizer herself.

I was super excited to learn #personalbranding in an event organized by ⁦Fatema Dewji⁩ and collecting lots of valuable lessons from ⁦Given Edward⁩ ⁦Idris⁩ ⁦msanii⁩ , ⁦Anthony LUVANDA⁩ and the organizer herself.
Paul_Makubi (@makubi_pol) 's Twitter Profile Photo

SIRI AMBAYO BENKI NA MICROFINANCE HAWATAKI UIJUE KUHUSU MIKOPO NA RIBA Ukitaka kukopa Pesa kitu cha Kwanza kufahamu ni RIBA. Je Riba ya hiyo taasisi ni kiasi gani pia ni kwa muda gani, na aina gani. Nitaeleza jinsi ya kuchambua RIBA kwa muda. Na mambo mengine muhimu.

SIRI AMBAYO  BENKI NA MICROFINANCE HAWATAKI UIJUE KUHUSU MIKOPO NA RIBA

Ukitaka kukopa Pesa  kitu cha Kwanza  kufahamu ni RIBA. Je Riba ya hiyo taasisi ni kiasi gani pia ni kwa muda gani, na aina gani.

Nitaeleza jinsi ya kuchambua RIBA kwa muda.
Na mambo mengine muhimu.
SANUKAnaCHAPO (@chapo255) 's Twitter Profile Photo

Kuna wallet jana imeokotwa maeneo Korogwe ina vitambulishi vya NIDA, leseni ya kazi (nursing) na vitambulisho vingine Ukiona ujumbe huu piga 0742600705 uje kuchukua vitu vyako. RT mwenetu apate mali zake

Kuna wallet jana imeokotwa maeneo  Korogwe ina vitambulishi vya NIDA, leseni ya kazi (nursing) na vitambulisho vingine

Ukiona ujumbe huu piga  0742600705 uje kuchukua vitu vyako.

RT mwenetu apate mali zake
Ben Phillips (@benphillips76) 's Twitter Profile Photo

Not all heroes wear capes. Love this inspirational news story about how communities led the charge in Eswatini's remarkable HIV-Aids turnaround. Let communities lead! news24.com/news24/africa/…

Elimu ya Afya kwa Umma (@elimuyaafya) 's Twitter Profile Photo

Tarehe 01 Desemba ni Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI. Ni siku ambayo kama Taifa tunatafakari safari yetu katika vita dhidi ya VVU. Tumepiga hatua kubwa sana!! Toka enzi za Ugonjwa huu kuitwa Juliana mpaka leo tupo kwenye 95 95 95.

Tarehe 01 Desemba ni Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI. Ni siku ambayo kama Taifa tunatafakari safari yetu katika vita dhidi ya VVU. Tumepiga hatua kubwa sana!! Toka enzi za Ugonjwa huu kuitwa Juliana mpaka leo tupo kwenye 95 95 95.
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Bro code ni kufurahia genuinely steps that your bros are making hata kama upo nyuma, cheers to them, your time will come. Usiweka kiroho cha kishetani, haitakusaidia kwenye mambo yako.

Dr. Norman Jonas (@normanjonasmd) 's Twitter Profile Photo

Nimeona mjadala watu wanasema ugonjwa wa UKIMWI haupo; Hii sio kweli.. Ndugu zangu; UKIMWI UPO UKIMWI NI UGONJWA HALISI; Ni kweli tumepiga hatua katika tiba na ndo maana hali ya watu kufikia hatua ya kuugua imekuwa nadra. - Bado tunapoteza watu; mwaka 2023 watanzania wenzetu

Mwl Wa Wataalam (@millambo_) 's Twitter Profile Photo

Umasikini Ni Roho MChafu - Mkatae⚠️ Umewahi kusikia kuna watu ni makaburi ya pesa? Wao wakishika pesa itapotea tu. HAKUNA KITU KIBAYA KAMA KIJANA KUAMINI HUWEZI KUFANIKIWA. Wenzako wanadai benki, wewe unashangaa Savimbi kujenga nyumba. Leo ni #SIKU15 Ya #SIKU100ZAUHURU

Kuduishe Kisowile (@kudu_ze_kudu) 's Twitter Profile Photo

Wizara imeanzisha huduma ya utoaji wa dawa kinga ya Kifua Kikuu kwa kutumia Dawa Mseto za muda mfupi | #BajetiYaAfya2024 🌀Rifapentine na Isoniazid - mnufaika atatumia mara 1 kwa wiki kwa muda wa miezi 3 🌀Rifampicin na Isoniazid - kwa watoto <miaka 15 kwa miezi 3 #UZI ⬇️⬇️

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Kuna Mdau anatafuta mteja wa kununua maziwa kwanzia 2000L mpaka 5000L per day, Jijini Dar. Contact 0742244821 Please rt 🙏🏽🤛