HABARIMPYA TV (@habarimpyatv) 's Twitter Profile
HABARIMPYA TV

@habarimpyatv

Pata Habari Kamili

ID: 1496589254981472262

linkhttp://www.com calendar_today23-02-2022 20:54:29

12,12K Tweet

106,106K Followers

5,5K Following

Wananchi Tv (@wananchitv) 's Twitter Profile Photo

#Habari Taarifa kutoka Jeshi la Polisi Tanzania imebainisha kuwa Timu ya uchunguzi kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai imetumwa kuongeza nguvu katika kutafuta wahusika wa mauaji ya kiongozi wa CHADEMA, Bwana Mohamed Ali Kibao. Jeshi la Polisi linatoa wito

HABARIMPYA TV (@habarimpyatv) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko ametoa wito kwa Watanzania kuokoa maisha yao kwa kutumia Nishati Safi ya Kupikia ambayo itawaepusha na madhara yanayotokana na Nishati isiyo safi ikiwemo athari katika mfumo wa upumuaji.

HABARIMPYA TV (@habarimpyatv) 's Twitter Profile Photo

Mamia ya Wananchi wa jimbo Siha Mkoani Kilimanjaro wajitokeza kumpokea Mbunge wao ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Alipofika jimboni kwa ajili ya kusikiliza kero na changamoto za wananchi wake.

HABARIMPYA TV (@habarimpyatv) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Baadhi ya Waombolezaji Msibani kwa Kada wa CHADEMA Ali Mohammed Kibao Wakishinikiza Waziri wa Mambo ya ndani Ajiuzulu

HABARIMPYA TV (@habarimpyatv) 's Twitter Profile Photo

Mwigizaji Dr. Cheni amesema Msanii mwenzie Steve Nyerere anastahili kupongezwa na kupewa heshima kwa kuja na wazo la Faraja ya Tasnia ambapo Wasanii na Wadau wa Sanaa waliotangulia mbele za haki watakuwa wakienziwa na kusomewa Dua huku Familia za wapendwa hao zikipewa faraja.

HABARIMPYA TV (@habarimpyatv) 's Twitter Profile Photo

VIONGOZI WA JUMUIYA YA MARIDHIANO NA AMANI MKOA WA MARA WAWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KWA WINGI KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

HABARIMPYA TV (@habarimpyatv) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kushindwa kesi ya rufaa dhii ya Yanga, Mzee Magoma ametishia kuipeleka Yanga FIFA akisema kuwa kama viongozi wa Yanga hawataki kukaa mezani wazungumze basi kuna uwezekano Yanga atafungiwa Usajili na mashindano ya kimataifa kama yeye ataenda FIFA

HABARIMPYA TV (@habarimpyatv) 's Twitter Profile Photo

"Viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wasituambie kuwa hawajui yani watu wanakufa halafu Waziri upo tu" Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku

HABARIMPYA TV (@habarimpyatv) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku kuhusu Sakata la Utekaji na Ulawiti Amewataka Wasaidizi wa Rais Kujitathmini na kuwajibika