Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Mei, 2025.
🇹🇿🇳🇦
"Kuishi ni sanaa,wengine ni karama yao,wengine huipata kwenye malezi, na wengine hufunzwa na ulimwengu, haijalishi umeipataje muhimu uwe nayo." ~Togolani Mavura.
📸 MJUE JIRANI YAKO 🇹🇿
Kuelekea uchaguzi wa 2025, Idara ya Uhamiaji Tanzania inaendelea na kampeni ya *Mjue Jirani Yako* kwa kasi nchi nzima – bara na visiwani! 🌍
Maafisa Uhamiaji wako mstari wa mbele kutoa elimu kwa wananchi kwenye:
🗣️ Mikutano ya hadhara
🏫 Vyuo na
🔰IJUE ILANI
Kwenye Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM ya mwaka 2025-2030, Sura ya pili ukurasa wa 23 imeelekeza kuendelea kutoa elimu ya msingi na sekondari bila ada.
Lengo ni kuona kuwa angalau asilimia 80 ya watoto wanaomaliza elimu ya msingi wanaendelea na elimu
"Je wajua kuwa msafara wa Nyumbu kuhama kutoka Serengeti kwenda Masai Mara na kurudi hautokani na akili za Nyumbu bali ni muitikio wa asili kufuata harufu na uelekeo wa wingu la mvua? Somo:Usiache safari yako maana si kila unayemuona katika msafara usiokuwepo anajua anapokwenda."
"Shule ndio kiwanda cha uhakika cha kuleta mapinduzi na maendeleo na kustawisha maisha ya mtu, kaya na taifa. Ndio geti la kutokea masikini." ~Togolani Mavura.
Kazi ya kuifanya nchi yetu kuwa kitovu cha biashara, usafirishaji na uzalishaji wa bidhaa, inahitaji uwekezaji na miundombinu bora. Kazi hiyo tunaendelea kuifanya kwa weledi ambapo, leo mkoani Pwani nimezindua Bandari Kavu ya Kwala, usafirishaji wa mizigo kwa SGR kutoka Kwala
Ninakutakia neema,baraka na nguvu za Mungu ziambatane nawe unapouanza mwezi huu wa nane.
Siku zote tembea ukikumbuka kuwa, unayaweza mambo yote katika yeye akutiaye nguvu.
Mungu akubariki sana.
"Kama mwana mpumbavu ni mzigo wa mamae na mwana mwerevu ni fahari ya babae, basi tuwashukuru akina mama kwa kusitiri madhaifu yetu ya kimalezi." ~Togolani Mavura.
Katika jambo lolote lile unalopitia kwenye maisha yako, na ukajihisi umekata tamaa au linaelekea kukushinda. Asubuhi ya leo nina neno moja tu kwako.
Usiogope, you are not alone. Mungu yuko kazini kwa ajili yako.
GOD AT WORK