Holly Green
@greenagrictz
Agriculture company deals with agronomy and irrigation soil test, farm planning, drip irrigation, green house,fish ponds, training and consultancy(0763347985)
ID:939902244073496578
http://www.greenagriculturetz.com 10-12-2017 16:58:52
6,0K Tweets
18,3K Followers
2,8K Following
Holly Green tumefunga pump yenye uwezo mkubwa wa kumwagilia Hadi 6 acres Kwa mara Moja at maximum pressure of 7bar. Huu Mfumo umefungwa kwenye shamba la mbegu za mbogamboga za asili ASA Tengeru-Arusha , tunamwagilia 5 hector's
Greenhouse aka Kitalu Nyumba ni njia bora sana ya kuzalisha mboga na matunda hasa kipindi hiki cha mvua , karibu Holly Green zipo greenhouse za chuma na miti (8mx15, miche 300, 8mx30m miche 750) pia tunaweza kukupa gh kulingana na mahitaji yako , Wasiliana nasi +255763347985
Tuende mbele turudi nyumba , Waziri Wetu wa Kilimo Mhe Hussein M Bashe anaipenda sana kazi yake na anaifanya vizuri , yuko humble kujibu hata maswali madogo madogo , Kama wadau wa Kilimo tunajivunia sana hamasa yake
Holly Green tupo site kumpimia mteja shamba lake Kwa ajili shughuli za kilimo, makazi na ufugaji . Tunatumia vifaa Bora sana (high accuracy) Kwa ajili ya surveys. Kulingana na mabadiliko ya Hali ya hewa kufanya shughuli za kilimo na ufugaji kitaalam ni muhimu
Holly Green tupo site kumpimia mteja shamba lake Kwa ajili shughuli za kilimo, makazi na ufugaji . Tunatumia vifaa Bora sana (high accuracy) Kwa ajili ya surveys. Kulingana na mabadiliko ya Hali ya hewa kufanya shughuli za kilimo na ufugaji kitaalam ni muhimu
Shukrani sana @AspireSERA TAHATanzania na na wadau wengine USAIDTanzania kupitia miradi ya @FeedTheFuture kwa support mliyotoa kwa Tanzania Youth in Agriculture Alliance pia Hussein M Bashe kupitia @tzagriculture
Wakulima wengi hawana elimu ya kutosha na exposure nzuri juu ya technolojia mbali mbali za kuongeza thamanu kwani sik zote zina gharama kubwa ...kwa kufanya hivho ukiongeza thamani unaongeza ubora na kuongeza shelf life ya bidhaa yako
Mje AgroEcology TZ tuna suluhu.