Barbosa (@gratian_barbosa) 's Twitter Profile
Barbosa

@gratian_barbosa

A Liverpool fan🔴Mo Salah is my idol👑. Y.N.W.A✊

ID: 1407813004582862852

calendar_today23-06-2021 21:29:24

36,36K Tweet

5,5K Takipçi

5,5K Takip Edilen

Barbosa (@gratian_barbosa) 's Twitter Profile Photo

Sio kwa ubaya ila ukitafsiri hivo freshi tu Miaka kama 10 nyuma tulikua tunasema timu kubwa 3 ambazo haziwahi chukua CL ni PSG,CITY na ARSENAL ila mpaka leo hii kabaki ARSENAL pekee bila hilo taji sababu wao wamekosa watu makini kwenye bechi la ufundi plus uwekezaji mkubwa tu.

Sio kwa ubaya ila ukitafsiri hivo freshi tu

Miaka kama 10 nyuma tulikua tunasema timu kubwa 3 ambazo haziwahi chukua CL ni PSG,CITY na ARSENAL ila mpaka leo hii kabaki ARSENAL pekee bila hilo taji sababu wao wamekosa watu makini kwenye bechi la ufundi plus uwekezaji mkubwa tu.
Barbosa (@gratian_barbosa) 's Twitter Profile Photo

Unasema huenda Arsenal ndio ana safu nzuri ya ushambuliaji?? Upo serious broo?? Yaani SAKA JESUS KAI MARTINELI TROSSARD hawa ndio unaowazungumzia??🤔😭😭

Alex debrizy (@alexkomba19) 's Twitter Profile Photo

Hakika tusikate tamaa katika maisha unapofika wakati wa MUNGU kukupa unachostahili hakuna chochote kitakachozuia tuendelee kuamini katika MUNGU 🙏 Good morning my X family 🌅.

Hakika tusikate tamaa katika maisha unapofika wakati wa MUNGU kukupa unachostahili hakuna chochote kitakachozuia tuendelee kuamini katika MUNGU 🙏 

Good morning my X family 🌅.
Harbard (@calvertson1) 's Twitter Profile Photo

Liverpool fans appreciate PSG and wish to reach their level or even higher while Arsenal fans still claim they’re better than PSG, Such a classless fanbase.

Çhøpër (@chopawang) 's Twitter Profile Photo

RETWEET FAM 🤝 Mikeka Ya Leo 🔥💰 Odds 9+ Code : 56QDP Odds 2+ Code : RK3DP Odds 5+ Code : QM6DP Odds 14+ Code : FFRDP HAUNA FAN-SPORT ACCOUNT?? JIUNGE 👉 tinyurl.com/49w8d4jj PROMOCODE: MYBONUS Bonus Yako ni 30k FREE V.I.P WHATSAPP CHANNE👇 whatsapp.com/channel/0029Vb…

RETWEET FAM 🤝 

Mikeka Ya Leo 🔥💰 

Odds 9+
Code : 56QDP

Odds 2+
Code : RK3DP

Odds 5+
Code : QM6DP

Odds 14+
Code : FFRDP

HAUNA FAN-SPORT ACCOUNT??

JIUNGE 👉 tinyurl.com/49w8d4jj

PROMOCODE: MYBONUS

Bonus Yako ni 30k

FREE V.I.P WHATSAPP CHANNE👇
whatsapp.com/channel/0029Vb…
Barbosa (@gratian_barbosa) 's Twitter Profile Photo

Data zipi unazo kaka utupe Maana sisi tunajua hauna mshambuliaji mwenye goli 10 kwenye timu yako. Ila agenda zingine za kiwaki sana😄😄

Local V. 🌾 (@bacazer_jnr) 's Twitter Profile Photo

Watu wanajisahaulisha timu zao, sasa atakae fungua mdomo tutajibiana kwanza na matokeo yake dhidi ya Arsenal misimu 3 tu.🤓 ndio tuendelee na mijadala🥷🏿

Watu wanajisahaulisha timu zao, sasa atakae fungua mdomo tutajibiana kwanza na matokeo yake dhidi ya Arsenal misimu 3 tu.🤓
ndio tuendelee na mijadala🥷🏿
Malcolm 🏆 (@mlinganya) 's Twitter Profile Photo

"No top six side has beaten Arsenal in 3 years now, we're massive 💪" Top six trophies in 3 years:- Chelsea 1 Liverpool 2 United 2 City 7 Spurs 1 Arsenal 😂😂😂😂

Barbosa (@gratian_barbosa) 's Twitter Profile Photo

Hii FIFA CLUB WORLD CUP itakua ngumu sana kwa sisi maafisa ubashiri. Imagine mechi ya Esperance vs Los Angeles hapo unachezaje??😀😀

Barbosa (@gratian_barbosa) 's Twitter Profile Photo

Zilizuka taarifa nyakati flani zinazema hawazidi makocha watatu tu ambao wako juu ya ATETA, hivi hao makocha watatu walikua ni akina nani? Mbona mimi naweza taja zaidi ya 20??