Godwin Grounder
@godwinshuma2
Computer engineer.,
member of Chadema political party ✌️
Grounders_ system administrator💻
ID: 1585361218272989190
26-10-2022 20:03:27
1,1K Tweet
158 Followers
136 Following
‼️🚨SAMIA SULUHU DESPERATE🚨‼️ Today Samia Suluhu fled Dar es Salaam and is in Ruvuma for a “tour” Knowing how deeply unpopular she is, her team is coordinating with SCHOOLS to get students to attend her rally! Children have been notified that there is no school today and told to
"TUNALITAKA JESHI LA POLICE Police Force TZ LIWARUDISHE NDUGU ZETU DEUSDEDITH SOKA #FreeMlay #FreeMbise #freeOurYouth
Mwenyekiti wa BAVICHA jimbo la ILALA John Nguti Chadema Nae amekamatwa na polisi Akiwa maeneo ya makao makuu ya chama ya zamani Kinondoni Ufipa, Hii gharama policcm mtailipa #freeJohnNguti #FreeDeusdedithSoka #FreeMbise #FreeMlay #FreeJacobMlay #freeOurYouth .
‼️ 🚨SOME PROTEST DETAINEES CANNOT BE LOCATED🚨‼️ #Tanzania Kuna watu walichukuliwa na polisi na hadi sasa hawajapatikana kwenye vituo Naomba muweke hapa chini watu ambao bado hawajaachiwa na polisi hawajawaorodhesha katika vituo Nimeona John Nguti Chadema hajapatikana Ila leteni
This is outrageous and honestly infuriating. Millicom and its mobile phone brand, Tigo, were secretly passing Tundu Antiphas Lissu's phone data to #Tanzania's repressive regime that was intent on killing him. He later survived being shot 16 times in Sept. 2017. theguardian.com/world/2024/sep…
mkurugenzi wa Grounders_Grounders na Mwenyekiti wangu wa BAVICHA Temeke Ndugu DEUSDEDITH SOKA mpaka Leo siku ya 37 cjui alipo, waliopewa dhamana ya kumtafuta wapo bize kuzima vilio vya wenye haki, Hakika huyu Mungu aishivyo haya machozi yatakula mpaka vitukuu vyenu. #freeOurYouth
Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. Tundu Antiphas Lissu atazungumza na watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari leo Jumatano tarehe 25 Septemba 2024, saa kumi na nusu jioni, Makao Makuu ya Chadema, Mikocheni Dar es salaam. Vyombo vyote vya habari vinakaribishwa.
Siku ya 38 bado ndugu yetu DEUSDEDITH SOKA anashikiliwa kusikojulikana. Soka ni kijana mzalendo ambaye amepata wito wa kutumika katika siasa lakini baadhi ya watu wameamua kumnyima uhuru wake kwa kumficha. Polisi Police Force TZ mmefikia wapi kuhusu Soka? #FreeDeusdedithSoka
Siku ya 38 bado ndugu yetu DEUSDEDITH SOKA anashikiliwa kusikojulikana. Soka ni kijana mzalendo ambaye amepata wito wa kutumika katika siasa lakini baadhi ya watu kwa kushirikiana na Police Force TZ wameamua kumnyima uhuru wake kwa kumficha. #FreeDeusdedithSoka #FreeThemAll
Jeshi la polisi Police Force TZ leo ni zaidi ya mwezi mmoja hamjatekeleza amri ya mahakama ya kuwatafuta na kuwarejesha DEUSDEDITH SOKA na wenzake uraiani. Mna mpango gani kuhusu SOKA na wenzake? #FreeDeusdedithSokaNaWenzake
🙏🏽 Thank you God Almighty Alhamdulillah Today we managed to submit DEUSDEDITH SOKA ‘s #EnforcedDisappearance to United Nations Kesi ya mpendwa wetu imetua Umoja wa Mataifa Nawashukuru WOTE mliosaidia kufanikisha Tutaendelea kuwajuza ila mwambieni Abdul na Mama yake kuwa #TutaelewanaTu