Ndugai alimfuta Tundu Lissu ubunge.
Ndugai alimnyima Lissu matibabu.
Ndugai aligeuza Bunge genge la kuhalalisha ubatili wa dola.
Ndugai was cruel & turned our parliament into a ghetto.
He wasn’t worth a title of the Speaker.
Apumzike anapostahili, na bado!
Ndugai aliwaapisha na kuwapakata wabunge feki wa uviko 19.
Alimpa Mwambe ubunge wakati amefutwa uanachama CDM.
Alitesa wapinzani Bungeni.
Alipitisha sheria kandamizi.
Alipitisha bajeti za serikali bila mjadala.
Majuzi alizomewa na w’nchi.
Ameumaliza mwendo kwa fedheha.
Solidarity with Cde Kizza Besigye & Obeid Lutale. Their resilience amidst turbulent times is evident. The storm shall come to pass and justice will prevail.
Ni huu unafiki wa kibongo ulifanya tuonekane wabaya tulipomshughulikia Freeman.
Aren’t we now vindicated?
Equally, now, we can’t look at Job as anything but someone who fvcked up our bunge!
We live always and die once.
If you get a min to roast a conman, use it religiously.
Tuko mkuyuni Mwanza saa nzima hakuna gari inasogea mbele wala kurudi nyuma, kujenga kadaraja hapa imechukua miaka miwili.
Hali ni hii kila siku asubuhi na jioni.. watu wanateseka kama vile tumepata uhuru jana.
Nchi haina uongozi kabisa ni uozo tu…