Gwamaka Mwakyambo(@gmwakyambo) 's Twitter Profileg
Gwamaka Mwakyambo

@gmwakyambo

Co-Founder | Engineer at Schon Group

ID:1891429471

linkhttp://www.schongroup.co.tz calendar_today21-09-2013 20:38:30

428 Tweets

144 Followers

305 Following

Gwamaka Mwakyambo(@gmwakyambo) 's Twitter Profile Photo

My mama dey steady cast and bindin'
I give her joy every single time
Na me dey make her dance like cocaina
As I dey grind, every single time na she dey my mind
She dey send me prayers wey dey keep me tight
I pity anybody wey follow me fight REMA

account_circle
Wizara ya Kilimo(@WizaraKilimo) 's Twitter Profile Photo

Matukio mengine wakati wa Mkutano Mkuu wa 14 wa Wadau wa zao la Kahawa kujadili namna ya kuboresha na kukuza zao la Kahawa nchini.

Mkutano huo umefanyika tarehe 16 Aprili 2024 katika Hoteli ya Morena, jijini Dodoma.

Matukio mengine wakati wa Mkutano Mkuu wa 14 wa Wadau wa zao la Kahawa kujadili namna ya kuboresha na kukuza zao la Kahawa nchini. Mkutano huo umefanyika tarehe 16 Aprili 2024 katika Hoteli ya Morena, jijini Dodoma.
account_circle
Ms_Genya(@ScholaDecaprado) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa kwenye mkusanyiko wa watu alafu unajikuta wewe ndio kipanga zaidi... shida inakuwa ni nini eti?? 😅😅😅

account_circle
Nathan Paul S.(@Fikra_pevu) 's Twitter Profile Photo

Sio kila wakati unapaswa kushinda kuna wakati unapaswa kushindwa Kwa hiari ili kukwepa shari.

Epuka sana ushindi kwenye marumbano yasiyo na msingi, kubali kushindwa ili kutunza heshima Yako✍️

account_circle
Carol Ndosi(@CarolNdosi) 's Twitter Profile Photo

“Hayo mnajua, ndugu zangu wapenzi. Basi kila mtu na awe mwepesi wa kusikia, bali si mwepesi wa kusema; wala kukasirika;”
Yakobo 1:19 SRUVDC bible.com/bible/1817/jas…

account_circle