Gharib Mzinga (@gharib_mzinga) 's Twitter Profile
Gharib Mzinga

@gharib_mzinga

Working at @azamtv || Channel Assistant Supervisor & Commentator|| 🦅 Badiangwenas

ID: 1487169147981242370

calendar_today28-01-2022 21:02:23

2,2K Tweet

105,105K Takipçi

165 Takip Edilen

Gharib Mzinga (@gharib_mzinga) 's Twitter Profile Photo

Mamelodi Sundowns 🇿🇦 v Al Ahly SC 🇪🇬 Orlando Pirates 🇿🇦 v Pyramids FC Fainali Mamelodi v Orlando Pirates. Mtazamo wako ____?

Gharib Mzinga (@gharib_mzinga) 's Twitter Profile Photo

Note this, Next season, kwenye CAF Interclubs hatua ya makundi tunaweza kua na timu zote nne. Simba na Yanga (CAF CL) Azam FC & Singida Black Stars / JKT Tanzania. (Shirikisho). Tumekosaaaa basi tatu [3].

Gharib Mzinga (@gharib_mzinga) 's Twitter Profile Photo

RATIBA MPYA YA BODI Young Africans v Namungo May 13 Young Africans v Simba June 15 Prisons v Young Africans June 18 Young Africans v Dodoma June 22 MECHI ZA KUAMUA UBINGWA YANGA

Gharib Mzinga (@gharib_mzinga) 's Twitter Profile Photo

RATIBA YA BODI - SIMBA SC Simba sc v Singida Black May 28 Young Africans v Simba SC June 15 Kengold v Simba June 18 Simba SC v Kagera June 22 Mechi ZA SIMBA KUAMUA UBINGWA

Gharib Mzinga (@gharib_mzinga) 's Twitter Profile Photo

Timu mbili za Afrika hakuna iliyoshinda, Ahly Sare, Esperance kapigwa, Bado Mamelodi & Wydad nani atatuwakilisha na Ushindi match day one group Stage ?

1- Jean Ahoua 🇮🇪 [16] 2- Clement Mzize 🇹🇿 [13] 3- Prince Dube 🇿🇼 [13] 4- Leonel Ateba 🇨🇲 [13] 5- Steven Mukwala 🇺🇬 [12] 6- Jonathan Sowah 🇬🇭 [12] 7- Pacome Zouzoua 🇮🇪 [11] 8- Djibril Sillah 🇬🇲 [11]

Gharib Mzinga (@gharib_mzinga) 's Twitter Profile Photo

RASMI Group A: Ahly Group B: Mamelodi Group C: Esperance Group D: RS Berkane Endapo zitafuzu makundi zitaunda makundi kama mfano huo. Simba na Yanga kila mmoja ataingia kwenye kundi lake. UNALITAKA KUNDI GANI ?

Gharib Mzinga (@gharib_mzinga) 's Twitter Profile Photo

RASMI: Simba & Yanga kama zitafuzu Makundi CAF CL 2025-25 Zitakua kwenye POT Moja [POT B] POT A: Ahly, Mamelodi, Esperance & Berkane [Endapo zitafuzu]. Maana yake Simba & Yanga Kila mmoja atakua na timu moja katika hizo za POT A kwenye kundi lake.

Gharib Mzinga (@gharib_mzinga) 's Twitter Profile Photo

Kwa Nyota wanaohusishwa na hizi Klabu TOP 4 hapa TZ, Naiona next season ya NBC PREMIER LEAGUE itakua ya moto zaidi ya msimu huu. Top level zinakuja Tanzania. Na ndio next season tunaweza kuona Nusu fainali ya CAF CL au CC kutoka Tz.

Gharib Mzinga (@gharib_mzinga) 's Twitter Profile Photo

Timu itakayopata hawa Nyota basi ni Semi finalist wa CAF next season 😃😃 Celestine Ecua 🇮🇪 Helton Kayembe 🇨🇩 Nouh El Abdi 🇲🇷 Ousseini Badamasi 🇳🇪 Evra Agbagno 🇹🇬 Claudio Barbosa 🇦🇴