George Ambangile (@george_ambangil) 's Twitter Profile
George Ambangile

@george_ambangil

GeorgeAmbangile|FootballAnalyst| @wasafifm | Brand Influencer @betwaytanzania

ID: 4110587662

calendar_today04-11-2015 07:55:56

114,114K Tweet

908,908K Followers

912 Following

George Ambangile (@george_ambangil) 's Twitter Profile Photo

Solution for PSG ?? More deep runners kwanini ? ✍🏻Chelsea dont press high sana ✍🏻Chelsea dont drop off sana : almost 25-30mita kutoka kwa Sanchez ( from backline yao) meaning midblock ✍🏻Balls behind the backline : Runs from deeper areas + runs btn Chelsea CBs & FBs

George Ambangile (@george_ambangil) 's Twitter Profile Photo

Kuna mshabiki mmoja wa Chelsea mtetezi mkubwa wa Maresca , huwa anawatolea maneno makali sana wenzake . Bado sijaona tweets zake mpaka sasa akiwapika wenzake wanaomkataa Maresca . 😀😀😀

George Ambangile (@george_ambangil) 's Twitter Profile Photo

Wanangu Arsenal fans : Endapo Arsenal wakafanikiwa kuongeza pia mmoja wapo kati ya Eze au Rodrygo . Mnafikiri huu msimu unaokuja kuanza ndio make or break kwa Arsenal na Arteta kwa maana ya kwamba kutwaa major trophy ? EPL or UCL

George Ambangile (@george_ambangil) 's Twitter Profile Photo

I get your point Raj (valid one ,contextually) but personally i dnt like recruitment that based on players to fit on " System X ". We know managers lifespan in football ( esp. at Man Utd )Dumfries apart from back 3 system ?I prefer recruiting good players irrespective of a system