kacha (@gallanemma) 's Twitter Profile
kacha

@gallanemma

ID: 1309378501749944322

calendar_today25-09-2020 06:26:01

45,45K Tweet

37,37K Followers

4,4K Following

kacha (@gallanemma) 's Twitter Profile Photo

Niliwaambia leo nitashare CapCut βœ”πŸ”₯πŸ”₯ Tool ya content creation (videos) - Pesa Nyepesi Kwa mtu unaetaka kuanza Repost Comment "Cup Cut" nakutumia maelekezo.

Niliwaambia leo nitashare CapCut βœ”πŸ”₯πŸ”₯

Tool ya content creation (videos) - Pesa Nyepesi

Kwa mtu unaetaka kuanza 

Repost

Comment "Cup Cut" nakutumia maelekezo.
kacha (@gallanemma) 's Twitter Profile Photo

Watu wengi wanaacces ya *CANVA* kwenye simu zao . lakini hawafahamu kuitumia. Tuanze na Poster za "INSTAGRAM" πŸ”₯πŸ“Œ Kwanza wengi ukosea hata templates zinazotumika kwenye mitandao au kitu fulani zinatofautiana Ila kwa canva ni rahisi sana, kama kupika chai ---- ukipewa

Watu wengi wanaacces ya *CANVA* kwenye simu zao . 

lakini hawafahamu kuitumia.

Tuanze na Poster za "INSTAGRAM" πŸ”₯πŸ“Œ

Kwanza wengi ukosea hata templates zinazotumika kwenye mitandao au kitu fulani zinatofautiana

Ila kwa canva ni rahisi sana, kama kupika chai ---- ukipewa
kacha (@gallanemma) 's Twitter Profile Photo

Challenge yako sio realistic kwa audience uliowatarget tena mwisho J3. Labda unatafuta engagement ila sio mshindi. Wenye uwezo wakupata RT 1k ni influencers wenye followers wengi na wengi wao laki moja sio pesa. Ifanye iwe realistic na achievable mzee.

kacha (@gallanemma) 's Twitter Profile Photo

UKWELI MTUPUπŸ‘‡ . BIO za wafanyabiashara Instagram nyingi hazivutii (MBOVU) . nmeandaa prompts 10 za kuandika bio nzuri kwa kutumia ChatGPT( AI) . Repost . Comment "BIO" nikutumie DMπŸ”₯

UKWELI MTUPUπŸ‘‡
.
BIO za wafanyabiashara Instagram nyingi hazivutii (MBOVU) 
.
nmeandaa prompts 10 za kuandika bio nzuri kwa kutumia ChatGPT( AI) 
.

Repost
.
Comment "BIO" nikutumie DMπŸ”₯
kacha (@gallanemma) 's Twitter Profile Photo

Leo Nmeandaa Tips kwa wapenzi wa movie. πŸŽ₯ πŸ“Œ Namna ya kudownload HD movie (Torrents ) kwa simu /pc YTS movies πŸ”› U-Torrent Repost Comment "YTS" nikutumie

Leo Nmeandaa Tips kwa wapenzi wa movie. πŸŽ₯ πŸ“Œ

Namna ya kudownload HD movie  (Torrents ) kwa simu /pc

YTS movies πŸ”› U-Torrent

Repost 

Comment "YTS" nikutumie
kacha (@gallanemma) 's Twitter Profile Photo

Ndugu zangu nipo chimbo nawapikia contents . . Ila pia nilikua busy na kazi . Gig economy. . Huitaji degree kutengeneza pesa online. . Ujuzi kidogo, jitihad na nidhamu inaitajika . Tarehe 13 tunaendelea

Benjamin Fernandes πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@benji_fernandes) 's Twitter Profile Photo

I’m giving away Β£1,000 today! I’m excited to announce for all our UK and EU customers we have launched NALA Tags with friends πŸš€ Drop your NALA @ username here below or in DM and I’ll send you Β£10 each to the first 100 people πŸ‘€πŸ”₯

kacha (@gallanemma) 's Twitter Profile Photo

Want to grow your Twitter (X) account under 1K followers? πŸš€ . Understanding the algorithm is the key! . Repost . Follow . Drop a comment, "algorithm" . I’ll send you simple tips to boost your views, engagement, and followers. Inbox ASAP! πŸ“©"

Want to grow your Twitter (X) account under 1K followers? πŸš€ 
.
Understanding the algorithm is the key! 
.
Repost 
.
Follow
.
Drop a comment, "algorithm"
.
I’ll send you simple tips to boost your views, engagement, and followers. 

Inbox ASAP! πŸ“©"
kacha (@gallanemma) 's Twitter Profile Photo

A simple way to grow on social media is by understanding the algorithm. πŸ“ˆβœ¨ I've started with this tip in English. Tomorrow, I’ll share the Swahili version! πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ”œ Stay tuned! πŸ‘€

kacha (@gallanemma) 's Twitter Profile Photo

Kuelewa siri za algorithm ya mtandao . kunaweza kubadilisha mwenendo na ukuaji wa akaunti yako ya Twitter! πŸ“ˆ . Kwa kuelewa jinsi inavyofanya kazi. unaweza kuboresha mikakati yako ya maudhui ,engagement na followers . Repost . Comment "UJUZI" !nikutumie DM swahili version.

Kuelewa siri za algorithm ya mtandao
.
kunaweza kubadilisha mwenendo na ukuaji wa akaunti yako ya Twitter! πŸ“ˆ 
.

Kwa kuelewa jinsi inavyofanya kazi.

unaweza kuboresha mikakati yako ya maudhui ,engagement na followers .

Repost
.
Comment "UJUZI" !nikutumie DM swahili version.
𝗣 𝗔 𝗕 π—Ÿ 𝗒 🦁 (@kingpablotz) 's Twitter Profile Photo

𝕏 - Update DM SPECIFIC BLOCK : 𝕏 Yazindua Kipengele Kipya cha Ku-block DM Pekee Mtandao wa kijamii 𝕏 umeanzisha kipengele kipya kinachowezesha watumiaji kumzuia mtu kutuma ujumbe wa moja kwa moja (DM) bila kumblock kabisa kwenye 𝕏 Kwa kutumia kipengele hiki, watumiaji

𝕏 - Update

DM SPECIFIC BLOCK :

𝕏 Yazindua Kipengele Kipya cha Ku-block DM Pekee

Mtandao wa kijamii 𝕏 umeanzisha kipengele kipya kinachowezesha watumiaji kumzuia mtu kutuma ujumbe wa moja kwa moja (DM) bila kumblock kabisa kwenye 𝕏 

Kwa kutumia kipengele hiki, watumiaji