AmiYeyo🧠 (@furniturjoy) 's Twitter Profile
AmiYeyo🧠

@furniturjoy

Designer & Manufacture| #ADV160| #YNWA| update Furniture Trends| #trusttheprocess 🛋️DM’ inform☎️

ID: 2172098338

linkhttp://www.instagram.com/joyfurnitures_tz calendar_today07-11-2013 12:54:55

8,8K Tweet

1,1K Takipçi

1,1K Takip Edilen

CHURA WA GOLIGOTHA MKALI PAPARAZZI (@maestrowafact) 's Twitter Profile Photo

Nchi inatenga bajeti kubwa kwa uchaguzi ambao mshindi mara nyingi anapatikana kwa zengwe na sarakasi, mazingira haya yasipotafutiwa ufumbuzi hakuna haja ya kupiga kura ni mara Mia wakajitangaza na tukaokoa mamilioni ya kodi za watanzania. #NoReform

Dr. Mishy🇲🇫 (@sharonmontana20) 's Twitter Profile Photo

Kupiga Kura Ni Haki ya Msingi ya Kila Raia mwenye umri Wa miaka 18+, So sio kwamba Wananchi wanapinga Uchaguzi kwamba Hawataki Haki Yao au hawapendi nchi Yao la Asha! Wao wanataka Uchaguzi Wa Haki tofauti na hapo Ata Mwezi huu Tangazeni Mtasha kama President mpya Wa Tz tumeridhia

John kalage 🇹🇿 (@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

Tangu mwaka umeanza nimesema No sihitaji kunywa chai nimefanya Reform sasa hivi nakula milo miwili tu. Nimesema No kwasababu nimeanza kufanya Election ya vitu vya kula.

Jema Furniture (@jemafurniture) 's Twitter Profile Photo

🔨 Tazama kazi yetu ya hivi karibuni hapa chini! 👇 Ubunifu, ubora na umaridadi vinakutana hapa. 📞 Mawasiliano: 0687 250 772 📍 Tupo Kimara Temboni, karibu na Kanisa la KKKT Karibu sana ujionee tofauti!

🔨 Tazama kazi yetu ya hivi karibuni hapa chini! 👇
Ubunifu, ubora na umaridadi vinakutana hapa.
📞 Mawasiliano: 0687 250 772
📍 Tupo Kimara Temboni, karibu na Kanisa la KKKT
Karibu sana ujionee tofauti!
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

DAKIKA 6 ZA HUYU DADA ZA MOTO SANA. Nchi inaenda kupata UKOMBOZI SOON. REPOST 200. #NoReformsNoElection #TUTAKUWEPO🫵😎

Joh cabinet (@joh_cabinet) 's Twitter Profile Photo

Moja ya combo nzuri sana Coffee table yenye side stool 4 pieces Mninga wood 900,000 Tv show case 480,000 kwa Superturkish hardboard Kindly☎️: 0710444391 Located at Chang'ombe-Temeke

Moja ya combo nzuri sana  Coffee table yenye side stool 4 pieces
Mninga wood 900,000

Tv show case 480,000 kwa Superturkish hardboard 

Kindly☎️: 0710444391
Located at Chang'ombe-Temeke
Jema Furniture (@jemafurniture) 's Twitter Profile Photo

Hakikisha wageni wako wanahisi nyumbani – na fanicha bora ya hoteli." Maisha ya hoteli huanza na usingizi mzuri tunaleta vitanda vinavyovutia wateja kurudi." Tupo Kimara temboni karibia na kanisa KKKT Mawasiliano yetu.0687250772. #PalmRoseHotel

Hakikisha wageni wako wanahisi nyumbani – na fanicha bora ya hoteli."
Maisha ya hoteli huanza na usingizi mzuri  tunaleta vitanda vinavyovutia wateja kurudi."
Tupo Kimara temboni karibia na kanisa KKKT
Mawasiliano yetu.0687250772.
#PalmRoseHotel
JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

Jana usiku watu wasiojulikana wamenivamia. Katika purukushani waliniumiza kwa kunipiga kitu chenye ncha kali kichwani na kunivunja taya ya meno ya chini. Nimeletwa hospitali sijitambui na siwezi kula, kunywa wala kuongea. Nimeumia kichwani sana hapo nyuma nimeshondwa nyuzi saba.

Jana usiku watu wasiojulikana wamenivamia. Katika purukushani waliniumiza kwa kunipiga kitu chenye ncha kali kichwani na kunivunja taya ya meno ya chini. Nimeletwa hospitali sijitambui na siwezi kula, kunywa wala kuongea. Nimeumia kichwani sana hapo nyuma nimeshondwa nyuzi saba.
SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Hii picha nilipost leo asubuhi, kuna ndugu yangu mmoja akanipigia simu, anasema — Jeff achana na haya mambo Nikamjibu — haya ni mambo yangu, ni mambo yetu, na ni mambo msingi, naachanaje nayo? Nikamwambia kabla sijalala nita-post tena

Hii picha nilipost leo asubuhi, kuna ndugu yangu mmoja akanipigia simu, anasema — Jeff achana na haya mambo

Nikamjibu — haya ni mambo yangu, ni mambo yetu, na ni mambo msingi, naachanaje nayo? Nikamwambia kabla sijalala nita-post tena