Frank Mosha (@frankmosha6) 's Twitter Profile
Frank Mosha

@frankmosha6

ID: 832966169497837568

calendar_today18-02-2017 14:53:05

285 Tweet

120 Followers

1,1K Following

πŸ‡© πŸ‡Ύ πŸ‡¦ πŸ‡§ πŸ‡¦ πŸ‡± πŸ‡¦ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@dyabala01) 's Twitter Profile Photo

5: Uwakala wa Mitandao Mbalimbali . Hapa unaweza ukawa na mtaji wako wa hata laki 5 ukafungua uwakala wa mitandao kama vile tigo na Voda au halotel na ukatafuta sehemu Ilichangamka ukapiga pesa mzee .

5:  Uwakala wa Mitandao Mbalimbali .
Hapa unaweza ukawa na mtaji wako wa hata laki 5 ukafungua uwakala wa mitandao kama vile tigo na Voda au halotel na  ukatafuta sehemu Ilichangamka ukapiga pesa mzee .
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

SALA YA ASUBUHI +Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina. Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu mmoja, sasa na siku zote na milele amina. Ee utatu Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu; +Baba, +Mwana na +Roho Mtakatifu. Ninasadiki kuwa upo hapa na mahali pote. Ee Mungu

SALA YA ASUBUHI

+Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina.

Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu mmoja, sasa na siku zote na milele amina. Ee utatu Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu; +Baba, +Mwana na +Roho Mtakatifu. Ninasadiki kuwa upo hapa na mahali pote. 

Ee Mungu
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

MCHAKATO UNAOFUATWA PAPA ANAPOFARIKI HADI KUPATA PAPA MPYA 1. UTHIBITISHO WA KIFO β€’ Camerlengo (Chamberlain wa Kanisa Takatifu la Roma) ndiye mtu pekee anayethibitisha rasmi kifo cha papa. β€’ Kijadi, papa anapofariki na madaktari kuthibitisha, Carmelengo husimama kando ya mwili

MCHAKATO UNAOFUATWA PAPA ANAPOFARIKI HADI KUPATA PAPA MPYA

1. UTHIBITISHO WA KIFO
β€’ Camerlengo (Chamberlain wa Kanisa Takatifu la Roma) ndiye mtu pekee anayethibitisha rasmi kifo cha papa.
β€’ Kijadi, papa anapofariki na madaktari kuthibitisha, Carmelengo husimama kando ya mwili
Paul Bonaventure (@phbhimself) 's Twitter Profile Photo

Fumata Bianca (moshi mweupe), Ishara ya Papa mpya. Katika kona za ajabu za Sistine Chapel, kule Vatican, kuna jambo la kipekee ambalo limevutia dunia kwa karne nyingi. Moshi unaotoka kwenye bomba dogo juu ya paa la kanisa hilo. Huo moshi wa rangi nyeusi au nyeupe, unasimama

Fumata Bianca (moshi mweupe), Ishara ya Papa mpya.

Katika kona za ajabu za Sistine Chapel, kule Vatican, kuna jambo la kipekee ambalo limevutia dunia kwa karne nyingi.

Moshi unaotoka kwenye bomba dogo juu ya paa la kanisa hilo.

Huo moshi wa rangi nyeusi au nyeupe, unasimama
Malkia Nyuki πŸ‘‘ (@nyuki_malkia) 's Twitter Profile Photo

Goodmorning! Kwa maisha ya sasa kila kijana ukifanikiwa ajira kitu cha kwanza tafuta kiwanja anza kujenga mdogo mdogo kama una akili utaielewa hii