Popote usomapo hii Ndugu, Nakutakia siku njema iliyojaa mafanikio kwa ajili yako na familia yako. Ikawe ni mwanzo mzuri wa mambo mazuri mbele yako.
Good morning🙏
Mungu huwainua juu wenye tabia ya kujishusha na huwashusha chini wale wajiinuao. Kua mpole mbele ya Mungu na mbele ya watu, Utainuliwa wakati sahihi utakapofika.
Good Morning Family.
Kamilisha kazi zako, cheza video games online na stream ukiwa na ODU router
Kwa 110,000\ tu unapata ODU router pamoja bando la mwezi
FREE DELIVERY POPOTE DSM
bando zake;
70k Mbps 20
110k Mbps 40
Cc Mrwati
CALL 0687892129
Wa.me/255687892129
🎙️ WANASIMBA MMEMSIKIA KOCHA FADLU
.
“Bado tunatafuta mchezaji mmoja bora namba 10 ambaye atakuwa ni mbunifu atakayetupa ubora kwa kusambaza pasi nzuri ndani ya 18 kuwarahisishia washambuliaji wa mwisho kufunga,”
.
“Mchezaji aina kama hiyo tunamkosa katika mechi kubwa, kwenye
Kuna jamaa content creator wa tiktok hapa Tanzania kumzidi huyu zero brain ?
Nimekuwekea video zake 10 uone jinsi anavyofatiliwa na watu dunia nzima kwa michezo yake mikali 😃