FINCA Tanzania (@fincatz) 's Twitter Profile
FINCA Tanzania

@fincatz

FINCA ni taasisi ya kimataifa inayotoa huduma za kifedha kwa wajasiliamali wadogo hadi wakubwa ili waweze kuboresha maisha yako...

ID: 3077044815

linkhttp://www.finca.co.tz calendar_today07-03-2015 12:08:23

834 Tweet

345 Takipçi

14 Takip Edilen

FINCA Tanzania (@fincatz) 's Twitter Profile Photo

Tunatamani kuwa sehemu ya kesho yako bora zaidi na ndio maana tunafanya kuweka akiba kuwa rahisi zaidi kwa ajili ya malengo yako. #fikanaFINCA #fincatz

Tunatamani kuwa sehemu ya kesho yako bora zaidi na ndio maana tunafanya kuweka akiba kuwa rahisi zaidi kwa ajili ya malengo yako.

#fikanaFINCA #fincatz
FINCA Tanzania (@fincatz) 's Twitter Profile Photo

Wanasema kesho hairabiriki, si ndio? Ila sisi tunajua kesho yako itakuwaje kama utaamua kuweka akiba leo. #fikanafinca #fincatanzania

Wanasema kesho hairabiriki, si ndio?

Ila sisi tunajua kesho yako itakuwaje kama utaamua kuweka akiba leo. 

#fikanafinca  #fincatanzania
FINCA Tanzania (@fincatz) 's Twitter Profile Photo

Kama jana timu yako imefungwa, basi leo usitoke nje kuepuka aibu ndogondogo. Unaweza kulipia bili zako na kufanya miamala yote ukiwa ndani kwa kubonyeza *150*19# #fincatz #fincamobile

Kama jana timu yako imefungwa, basi leo usitoke nje kuepuka aibu ndogondogo.

Unaweza kulipia bili zako na kufanya miamala yote ukiwa ndani kwa kubonyeza *150*19#

#fincatz #fincamobile
FINCA Tanzania (@fincatz) 's Twitter Profile Photo

Huna sababu ya kuendelea kudumaza ndoto zako wakati tupo kuhakikisha ndoto zako zinatimia kwa kukusaidia kuwa na mpango bora wa kuweka akiba. #fikanafinca #fincatz

Huna sababu ya kuendelea kudumaza ndoto zako wakati tupo kuhakikisha ndoto zako zinatimia kwa kukusaidia kuwa na mpango bora wa kuweka akiba.

#fikanafinca #fincatz
FINCA Tanzania (@fincatz) 's Twitter Profile Photo

Tunaamini katika usalama wa kila shilingi yako unayoikabidhi kwenye mikono yetu. Na hicho ndio moja kati ya vitu tunakuhakikishia. #fikanafinca #fincatz

Tunaamini katika usalama wa kila shilingi yako unayoikabidhi kwenye mikono yetu.

Na hicho ndio moja kati ya vitu tunakuhakikishia.
#fikanafinca #fincatz
FINCA Tanzania (@fincatz) 's Twitter Profile Photo

Tunaungana na watanzania wote katika wakati huu mgumu. Na wakati tukiwaombea wahanga wote wa janga hili, Endelea kubaki salama. #fincatanzania

Tunaungana na watanzania wote katika wakati huu mgumu. Na wakati tukiwaombea wahanga wote wa janga hili, Endelea kubaki salama.

#fincatanzania
FINCA Tanzania (@fincatz) 's Twitter Profile Photo

Tunakuona, Tunakusikia, na tunathamini kila chembe ya mchango wako kwa jamii na dunia kwa ujumla. Na leo, tunakusheherekea. Heri ya siku ya kimataifa ya wanaume. #internationalmensday #mensday #fincatanzania

Tunakuona, Tunakusikia, na tunathamini kila chembe ya mchango wako kwa jamii na dunia kwa ujumla.

Na leo, tunakusheherekea.
Heri ya siku ya kimataifa ya wanaume.

 #internationalmensday #mensday #fincatanzania
FINCA Tanzania (@fincatz) 's Twitter Profile Photo

Mwanzo mpaka mwisho, tuko kuhakikisha tunafanya safari yako ya kuweka akiba kuwa rahisi kwako. #fikanafinca #fincatanzania

FINCA Tanzania (@fincatz) 's Twitter Profile Photo

Katika safari yako ya kuweka akiba, FINCA inakuhakikishia kukupa viwango vya makato ambavyo havitakuumiza ili ufikie makengo yako. #fikanafinca #fincatanzania

Katika safari yako ya kuweka akiba, FINCA inakuhakikishia kukupa viwango vya makato ambavyo havitakuumiza  ili ufikie makengo yako.

#fikanafinca #fincatanzania
FINCA Tanzania (@fincatz) 's Twitter Profile Photo

Akiba ni ngao na ndio maana tunakuhamasisha kuweka akiba. Anza kuweka leo, jifunze kuokoa kesho. #fikanafinca #fincatanzania

Akiba ni ngao na ndio maana tunakuhamasisha kuweka akiba. Anza kuweka leo, jifunze kuokoa kesho.
#fikanafinca #fincatanzania
FINCA Tanzania (@fincatz) 's Twitter Profile Photo

Tunawatakia uchaguzi mwema wa viongozi wa Serikali za Mitaa. Kwa huduma zote leo, tembelea wakala wetu au piga*150* 19# #fincatanzania

Tunawatakia uchaguzi mwema wa viongozi wa Serikali za Mitaa.

Kwa huduma zote leo, tembelea wakala wetu au piga*150* 19#  

 #fincatanzania