G’love (@fevushka_) 's Twitter Profile
G’love

@fevushka_

ID: 1734340102782943232

calendar_today11-12-2023 22:31:41

410 Tweet

88 Takipçi

41 Takip Edilen

Sekenke One 🌻 (@alexsamoja) 's Twitter Profile Photo

Simba sc na Sisiemu ni mama mmoja baba mmoja kwa uongo, #Simba wanatangaza ticket 🎟 ni SOLD OUT na hizi zinazouuzwa mtaani ni ticket za SIMBA wa ngorongoro au , 🧐

Simba sc na Sisiemu ni mama mmoja baba mmoja kwa uongo, #Simba wanatangaza ticket 🎟 ni SOLD OUT na hizi zinazouuzwa mtaani ni ticket za  SIMBA wa ngorongoro au , 🧐
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#HABARI Kijana aliyefahamika kwa jina la Shalom Tarimo (21) amefariki dunia leo Agosti 9, 2024, wakati akifanya usafi katika kituo cha mafuta cha Uhuru Peak mjini Moshi mkoani Kilimanjaro Tarimo ambaye alikuwa kijana wa kazi amefariki dunia kwa kutumbukia kwenye kisima cha

#HABARI Kijana aliyefahamika kwa jina la Shalom Tarimo (21) amefariki dunia leo Agosti 9, 2024, wakati akifanya usafi katika kituo cha mafuta cha Uhuru Peak mjini Moshi mkoani Kilimanjaro 

Tarimo ambaye alikuwa kijana wa kazi amefariki dunia kwa kutumbukia kwenye kisima cha
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#5SELEKT: Lukashi Lukambaofficial anakuuliza Simu au Mpenzi wako kipi unaweza kukaa nacho mbali ? Usikose kutazama #5SELEKT LIVE kupitia #EastAfricaTv na YouTube channel Yetu saa 11:00 jioni hadi saa 12:00 jioni @modoo_255 G’love @felister_loshy Baraka selemani

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#5SELEKT Mjeshi kikofia Ndaro__ amefunguka kati ya simu au mpenzi kipi hawezi kukaa nacho mbali, Tuambie pia kwenye uwanja wa comment kipi huwezi kukaa nacho mbali kati ya Simu au Mpenzi ? #5SELEKT #DataNaData Airtel Tanzania @modoo_255 G’love @felister_loshy

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#5SELEKT: “Mimi ni bingwa wa kwenda na simu hadi chooni, Watu wamekuwa wakisema muda mwingi nipo na wanawake, ni kweli lakini muda mwingi lazima niutumie kwenye simu kwasababu ndio kazi yangu? Lukambaofficial #5selekt @modoo_255 G’love #DatanaData Airtel Tanzania

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#5SELEKT: “Tangu siku ya kwanza nilipo kutana na Alikiba Imani yake kwangu ilikuwa ni kubwa sana, alikuwa anapenda pia kazi zangu, hata nilipoanza kuimba “support”yake ilibaki pale pale. Namshukuru kwasababu ni mtu aliyekuwa anani-support sana kwenye safari yangu ya

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#5SELEKT: Balaa la @spicetz_ ndani ya #5SELET, vipaji adimu kabisa duniani, utatumia muda mrefu sana kugundua ni binadamu na sio roboti. #5selekt @modoo_255 G’love #DatanaData Airtel Tanzania