Femina Hip (@feminahip) 's Twitter Profile
Femina Hip

@feminahip

We work with Tanzanian youth to promote healthy lifestyles, economic empowerment and citizen engagement. bit.do/youtubefh

ID: 385309475

linkhttps://youtu.be/dMDsR-2tk_4 calendar_today05-10-2011 08:22:11

12,12K Tweet

8,8K Takipçi

690 Takip Edilen

Femina Hip (@feminahip) 's Twitter Profile Photo

Ni rahisi kuijenga kesho yako ikawa bora kwa kujaribu mambo mbalimbali kuliko kutokuthubutu kufanya jambo lolote. Ikawe wiki ya heri kwa kila jambo unalofanya. #feminahip

Ni rahisi kuijenga kesho yako ikawa bora kwa kujaribu mambo mbalimbali kuliko kutokuthubutu kufanya jambo lolote.

Ikawe wiki ya heri kwa kila jambo unalofanya.

#feminahip
Femina Hip (@feminahip) 's Twitter Profile Photo

Girls have a right to be heard and involved in decisions that shape their lives and futures! At Femina Hip, we are dedicated to advocating for a world where girls and women can live free from violence and discrimination. Zawadi Hasibu Mvungi shares her vision of a future where

Girls have a right to be heard and involved in decisions that shape their lives and futures! At Femina Hip, we are dedicated to advocating for a world where girls and women can live free from violence and discrimination.

Zawadi Hasibu Mvungi shares her vision of a future where
Femina Hip (@feminahip) 's Twitter Profile Photo

Aisha Omari Kerefu, a Fema Club Champion under the Kijana Jitambue project in Tanga, is passionate about advocating for sexual and reproductive health and rights. She envisions a world where all adolescent girls and young women can access #SRHR services without shame or

Aisha Omari Kerefu, a Fema Club Champion under the Kijana Jitambue project in Tanga, is passionate about advocating for sexual and reproductive health and rights. 

She envisions a world where all adolescent girls and young women can access #SRHR services without shame or
Femina Hip (@feminahip) 's Twitter Profile Photo

Leo tunaungana na Watanzania wote katika kusherehekea maisha na uzalendo wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Karume. Daima tutakuenzi! #HappyKarumeDay #FeminaHip

Leo tunaungana na Watanzania wote katika kusherehekea maisha na uzalendo wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Karume.
Daima tutakuenzi!

#HappyKarumeDay #FeminaHip
Femina Hip (@feminahip) 's Twitter Profile Photo

kama wewe ni mkongwe nitajia nyimbo unazozikumbuka za Professar Jay na Sugu? @therealjongwe @professorjaytz #tbt #femaclubs #feminahip

kama wewe ni mkongwe nitajia nyimbo unazozikumbuka za Professar Jay na Sugu?

@therealjongwe @professorjaytz

#tbt #femaclubs #feminahip
Femina Hip (@feminahip) 's Twitter Profile Photo

Leo tumefanya ziara ya kutembelea mradi wa ndani ya shule uitwao KIJANA JITAMBUE. Ziara hii ilifanyika katika shule ya sekondari Tanga Technical, iliyoko jijini Tanga, ambapo tulishuhudia mafanikio ya moja kwa moja ya mradi huu kwa vijana wanaonufaika nao. Wanufaika wakuu wa

Leo tumefanya ziara ya kutembelea mradi wa ndani ya shule uitwao KIJANA JITAMBUE. Ziara hii ilifanyika katika shule ya sekondari Tanga Technical, iliyoko jijini Tanga, ambapo tulishuhudia mafanikio ya moja kwa moja ya mradi huu kwa vijana wanaonufaika nao.

Wanufaika wakuu wa
Femina Hip (@feminahip) 's Twitter Profile Photo

Leo tulikuwa na kikao cha Tathmini ya Kati ya Utekelezaji wa Mradi wa Ujana Salama Muheza! Kikao hiki kimefanyika wilayani Muheza kikihudhuriwa na: Viongozi kutoka Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Ubalozi wa Ireland,

Leo tulikuwa na kikao cha Tathmini ya Kati ya Utekelezaji wa Mradi wa Ujana Salama Muheza! 

Kikao hiki kimefanyika wilayani Muheza kikihudhuriwa na: Viongozi kutoka  Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Ubalozi wa Ireland,
Femina Hip (@feminahip) 's Twitter Profile Photo

Leo vijana kutoka Mradi wa Ujana Salama kata ya Mbaramo, wilayani Muheza, wameshiriki kikamilifu kwenye Kongamano la Vijana. Vijana walijadili kwa ujasiri na kueleza maoni yao kuhusu mambo muhimu yanayowahusu, kama vile: •Maendeleo ya kiuchumi kwa vijana •Afya ya uzazi

Leo vijana kutoka Mradi wa Ujana Salama kata ya Mbaramo, wilayani Muheza, wameshiriki kikamilifu kwenye Kongamano la Vijana.

Vijana walijadili kwa ujasiri na kueleza maoni yao kuhusu mambo muhimu yanayowahusu, kama vile:
•Maendeleo ya kiuchumi kwa vijana
•Afya ya uzazi
Femina Hip (@feminahip) 's Twitter Profile Photo

Kuelekea siku ya mtoto wa kiume kimataifa tuwaandalie vijana wa kiume mazingira ya kuwa wao —bila woga, bila kubezwa. Wakilia, wasikilize. Wakihitaji kuongea, watie moyo. Huo ndio upendo wa kweli. Tusifundishe wavulana kuficha maumivu. Tuwafundishe kuwa ni sawa kuwa na hisia. Ni

Kuelekea siku ya mtoto wa kiume kimataifa tuwaandalie vijana wa kiume mazingira ya kuwa wao —bila woga, bila kubezwa. Wakilia, wasikilize. Wakihitaji kuongea, watie moyo. Huo ndio upendo wa kweli.

Tusifundishe wavulana kuficha maumivu. Tuwafundishe kuwa ni sawa kuwa na hisia. Ni
Femina Hip (@feminahip) 's Twitter Profile Photo

Wavulana hawapaswi kuachwa nyuma. Katika jamii ambayo mara nyingi huwasahau au kuwawekea matarajio yasiyozingatia hisia zao, tunasema kwa nguvu – MSITUSAHAU PIA. Wiki hii tunasimama na wavulana kuelekea Siku ya Mtoto wa Kiume Duniani. Tuwaunge mkono, tuwasikilize, na tuwajenge

Wavulana hawapaswi kuachwa nyuma. Katika jamii ambayo mara nyingi huwasahau au kuwawekea matarajio yasiyozingatia hisia zao, tunasema kwa nguvu – MSITUSAHAU PIA.

Wiki hii tunasimama na wavulana kuelekea Siku ya Mtoto wa Kiume Duniani. Tuwaunge mkono, tuwasikilize, na tuwajenge
Femina Hip (@feminahip) 's Twitter Profile Photo

Hata sisi wavulana tunapitia ukatili — tusinyamaze! Ni wakati wa kusikiliza sauti za watoto wa kiume na kuchukua hatua. #sikuyamtotowakiume #msitusahaupia #feminahip

Hata sisi wavulana tunapitia ukatili — tusinyamaze! Ni wakati wa kusikiliza sauti za watoto wa kiume na kuchukua hatua. 

#sikuyamtotowakiume #msitusahaupia #feminahip
Femina Hip (@feminahip) 's Twitter Profile Photo

Tabasamu lao ni ushindi. Leo tunawakumbusha wavulana wetu kuwa: wanapendwa, wanathaminiwa, na wanastahili furaha. #feminahip #SikuYaMtotoWaKiume

Tabasamu lao ni ushindi. Leo tunawakumbusha wavulana wetu kuwa: wanapendwa, wanathaminiwa, na wanastahili furaha.
#feminahip #SikuYaMtotoWaKiume
Femina Hip (@feminahip) 's Twitter Profile Photo

Today, we had the honor of welcoming H.E. Nicola Brennan, the Ambassador of Ireland to Tanzania, to our offices, accompanied by Helen Counihan (Deputy Head of Development Cooperation), Oliva Kinabo (Gender Program Manager), and Isa Sekro (Programme Officer, Development

Today, we had the honor of welcoming H.E. Nicola Brennan, the Ambassador of Ireland to Tanzania, to our offices, accompanied by Helen Counihan (Deputy Head of Development Cooperation), Oliva Kinabo (Gender Program Manager), and Isa Sekro (Programme Officer, Development