Nimepokea kwa MASIKITIKO taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, SACP. GEORGE KATABAZI, kuhusu KIFO cha D/CPL JAIRO BONIFACE KALANDA baada ya KUPIGWA RISASI wakati akitekeleza majukumu yake. Poleni sana ADU MEMBERS tuliowahi KUISHI na KUFANYA KAZI na JAIRO.
Kuna Wanawake Alafu Kuna Huyu Rachel Ambae Ni Mke Wa Mchezaji Wa zamani Wa Afc Leopards Ya Kenya Ezekiel Otuoma Ambae Alikua Anaumwa Ugonjwa Wa Motor Neurons Disease. Ugonjwa Ambao Ulitamatisha Ndoto Na Career Yote Ya Mchezaji Huyo Kucheza Mpira Wa Miguu. Licha Ya Kuugua Huo
#TajiriLaKihaya
Mimi ndio maana WASIMBE huwa NAwaogopa saanaโฆ
Yaani single maza unaweza kuwa unataka KUPIGA tu NAKUPITA!
Ghafla unapata ushaweka kambi Hadi Ndugu zako wanakushangaa-imekuaje kuaje
Wanaganda wale kuzidi hata Gundi- anaweza hata kufumania lakini yeye ndio
ASLEY MIHOGO COCO BEACH INATEKETEA
Moto ambao chanzo chake bado hakijafahamika umeteketeza Mabanda ya Muuza Mihogo maarufu katika fukwe za Coco Jijini aitwaye Asley Mihogo.
Tayari Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji kimefika hivi sasa.
#KitengeUpdates
Naumia kuona mwanangu anakua mlemavu sababu ya umaskini. Naitwa Hosea Nzuzu kutoka Singida mjini. Mapema mwaka huu mimi na mke wangu tulisafiri kwenda Iringa kusalimia ndugu. Wakati tukiwa ndani watoto wakawa wanacheza nje.
Mwanangu Ivan (03), alikua anacheza na watoto wenzie wa
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐,
Hakikisha unafanya vipimo hivi kabla ya ndoa na mwenzi wako.
1. Rhesus status,
2. Fertility Profile,
3. Genotype,
4. Hepatitis B and C,
5. HIV and other STIs,
6. Any Chronic medical conditions,
โ Ni muhimu kupima afya zetu kwa undani zaidi, ili
Nimekuwa Njombe kwa jumla ya miezi miwili na nusu kupigania haki ya George Sanga na wenzake waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya Mauaji. Hatimaye jana wameachiwa huru.
Tusherekee siku ya leo kwa kuwagusa kwa chochote kwenda namba 0755636735 jina; George Menson Sanga.
Tayari nafasi 8000 za ufadhili wa masomo ya ufundi bure zimetoka na yeyote mwenye umri wa miaka 18-35 anaweza kuomba. Ziko fani zaidi ya 20 kwa elimu kuanzia darasa la saba na kuendelea.
Unaweza kutazama zaidi kupitia website hii; kazi.go.tz/announcements/โฆ