KUHANI ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@ernestmjukuu2) 's Twitter Profile
KUHANI ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@ernestmjukuu2

kutoka 14:14,
Development planner, entrepreneur, jesus follower,

ID: 1255548268488151041

calendar_today29-04-2020 17:23:40

9,9K Tweet

446 Followers

501 Following

Samson Ernest (@samsonernest_) 's Twitter Profile Photo

Watu wengi wanajua kile Mungu anawataka wafanye katika maisha yao, lakini wanasita kuchukua hatua na kubaki na visingizio vingi.

Paschal Mover. (@paschalsimba9) 's Twitter Profile Photo

Mungu anahitaji watu waokolewe Mungu hataki hata mtu mmoja hajarudi kwenye mazingira Yale aliyomtengenezea mwanadamu ya (EDENI) Kristo kama Edeni Ni mazingira ya mwadamu kuishi kama siku za uumbaji #Mavunokipaumbele

Paschal Mover. (@paschalsimba9) 's Twitter Profile Photo

Pamoja na Ratiba hiyo ya maombi yanayoendelea Kuna Leo ambalo linatarajiwa kufikiwa katika muda huo Moja ya Leo ni kuvuna nafasi za watu 50 tu ndani ya miezi 6 na wakae kwenye kanisa la Mahali pamoja #Mavunokipaumbele

Paschal Mover. (@paschalsimba9) 's Twitter Profile Photo

Waebrania 11:1 [1]Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana. Moja ya matarajio Baada ya ratiba ya maombi hayo ni Watu 50 kumpa Yesu maisha na kukaa kwenye kanisa la Mahali pamoja #Mavunoyanafsi

Paschal Mover. (@paschalsimba9) 's Twitter Profile Photo

Watu 50 wakiokoka kufika mwezi wa 12 Itakuwa Ni utukufu mkubwa sana Kwa Mungu Mtu mmoja akitubu mbingu Huwa zinafurahi sana Nyakati za kukaa jagwani๐Ÿ’ช

Paschal Mover. (@paschalsimba9) 's Twitter Profile Photo

Mungu hakukusudia watu wake waishi maisha Ya Hovyo kama mnyama Mwanadamu ameumbwa Kwa mfano wa Mungu Ndiyo maana Mungu anataka Kila mtu aamini upendo wake tena wa kumrejesha Kwenye Uwepo wake baada ya dhambi Kristo ndiyo Bustani ya EDENI Ya kwanza.

Paschal Mover. (@paschalsimba9) 's Twitter Profile Photo

Luka 15:10 [10]Nawaambia, Vivyo hivyo kuna furaha mbele ya malaika wa Mungu kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye. Nataka kupeleka shwangwe Kwa malaika Watu 50 waokoke

Paschal Mover. (@paschalsimba9) 's Twitter Profile Photo

2 Wakorintho 4:16 [16]Kwa hiyo hatulegei; bali ijapokuwa utu wetu wa nje unachakaa, lakini utu wetu wa ndani unafanywa upya siku kwa siku.