MR BEN (@eric__bernard) 's Twitter Profile
MR BEN

@eric__bernard

Proud To Be Tanzanian,
TANZANIA KWANZA,
Retweets Are Not Endorsements,
Mjuzi wa Mawasiliano ya kimkakati, Mwananchi na Mporipori.

ID: 2877409326

calendar_today25-10-2014 23:15:37

293,293K Tweet

453,453K Followers

5,5K Following

Seif Haruna Iddy (@seif_tanzania) 's Twitter Profile Photo

๐ˆ๐‹๐€๐๐ˆ ๐˜๐€ ๐”๐‚๐‡๐€๐†๐”๐™๐ˆ ๐˜๐€ ๐Œ๐–๐€๐Š๐€ ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐ŸŽ-๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐Ÿ“ ๐ˆ๐Œ๐„๐“๐„๐Š๐„๐‹๐„๐™๐–๐€ Eneo la kilimo cha umwagiliaji limeongezeka Mwaka 2020: Ekari 561,383 Mwaka 2024: Ekari 983,466 #MamaYukoKazini

๐ˆ๐‹๐€๐๐ˆ ๐˜๐€ ๐”๐‚๐‡๐€๐†๐”๐™๐ˆ ๐˜๐€ ๐Œ๐–๐€๐Š๐€ ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐ŸŽ-๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐Ÿ“ ๐ˆ๐Œ๐„๐“๐„๐Š๐„๐‹๐„๐™๐–๐€  

Eneo la kilimo cha umwagiliaji limeongezeka

Mwaka 2020: Ekari 561,383 
Mwaka 2024: Ekari 983,466 

#MamaYukoKazini
Sally Brown๐ŸŒท (@officielsalome) 's Twitter Profile Photo

Watanzania mko tayari kuingia kwenye dunia ya fintech? RAY anakuja na mambo makubwa ndani ya nchi yetu,Zimebakia siku 10 kuelekea Fintech Festival Tanzania 2025. Usikose kushiriki,kujifunza,kuungana na watechnolojia ili kujifunza zaidi. #TheManRay #RayxFFT #NoonesinTanzania

Watanzania mko tayari kuingia kwenye dunia ya fintech? 

RAY anakuja na mambo makubwa ndani ya nchi yetu,Zimebakia siku 10 kuelekea  Fintech Festival Tanzania 2025.

Usikose kushiriki,kujifunza,kuungana na watechnolojia ili kujifunza zaidi.

#TheManRay #RayxFFT 
#NoonesinTanzania
Paschal sam (@paschalsam1) 's Twitter Profile Photo

AWAMU YA PILI YA UJENZI KUANZA HOSPITALI YA RUFAA KANDA YA KUSINI Kiasi cha Shilingi Bilioni 3 kitatumika kwa ajili ya kuanza awamu ya pili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini โ€“ Mtwara,ambapo kazi zimeshaanza kuanza Aprili 2025. #MamaAnafanikisha #TanzaniaYaSamia

AWAMU YA PILI YA UJENZI KUANZA HOSPITALI YA RUFAA KANDA YA KUSINI

Kiasi cha Shilingi Bilioni 3 kitatumika kwa ajili ya kuanza awamu ya pili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini โ€“ Mtwara,ambapo kazi zimeshaanza kuanza Aprili 2025.
#MamaAnafanikisha 
#TanzaniaYaSamia
Fumbo Khan (@fumbokhanjr) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“Kiwanda Cha Kuzalisha Mabati (Kinglion) -Kiwanda kina uwezo wa kuzalisha hadi tani 150,000 za mabati kwa mwaka. -Ajira zaidi ya 2,000 zimepatikana kwa Watanzania ( za moja kwamoja na sizizo za mojakwamoja). #MamaYukoKazini

๐Ÿ“Kiwanda Cha Kuzalisha Mabati (Kinglion)

-Kiwanda kina uwezo wa kuzalisha hadi tani 150,000 za mabati kwa mwaka. 

-Ajira zaidi ya 2,000 zimepatikana kwa Watanzania ( za moja kwamoja na sizizo za mojakwamoja).

#MamaYukoKazini
Paschal sam (@paschalsam1) 's Twitter Profile Photo

UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI KITUNDA RELINI UNAENDELEA Ujenzi huo unajumuisha vyumba vya madarasa 16, maabara 4, maktaba, chumba cha kompyuta, ofisi 12 za walimu pamoja na nyumba ya walimu. #MamaAnafanikisha #TanzaniaYaSamia

UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI KITUNDA RELINI UNAENDELEA 

 Ujenzi huo unajumuisha vyumba vya madarasa 16, maabara 4, maktaba, chumba cha kompyuta, ofisi 12 za walimu pamoja na nyumba ya walimu.

#MamaAnafanikisha
#TanzaniaYaSamia
Paschal sam (@paschalsam1) 's Twitter Profile Photo

Serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 678 kwa ajili ya Ujenzi wa matenki 14 ya mafuta (Dizeli & petrol) maeneo ya Tungi kigamboni jijini Dar es salaam. Uwepo wa mradi huu unaenda kuongeza kasi ya upatikanaji wa mafuta ikiwemo bandarini. #MamaYukoKazini

Serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 678 kwa ajili ya Ujenzi wa matenki 14 ya mafuta (Dizeli & petrol) maeneo ya Tungi kigamboni jijini Dar es salaam.

Uwepo wa  mradi huu unaenda kuongeza kasi ya upatikanaji wa mafuta ikiwemo bandarini.

#MamaYukoKazini
๐Ÿฆ๐ ๐ˆ ๐‡ ๐„ ๐Œ ๐Ž โ„ข (@charliebihemo) 's Twitter Profile Photo

K A R I B U N S A N A Pendeza kwa suti kali kutoka suit_mseleleko kwa 180,000 tu. Chimbo la suti kali, original na accessories. Location: Msimbazi kariakoo , Mtaa wa Mchikichi na Manyema (Nyuma ya jengo la club ya simba). ๐Ÿ“ž 0762617089 Delivery popote ulipo โœ…

K A R I B U N        S A N A 

Pendeza kwa suti kali kutoka <a href="/suitmseleleko/">suit_mseleleko</a> kwa 180,000  tu. Chimbo la suti kali, original na accessories.

Location: Msimbazi kariakoo , Mtaa wa Mchikichi na Manyema (Nyuma ya jengo la club ya simba).

๐Ÿ“ž 0762617089 

Delivery popote ulipo โœ…
Fumbo Khan (@fumbokhanjr) 's Twitter Profile Photo

Serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 678 kwa ajili ya Ujenzi wa matenki 14 ya mafuta (Dizeli & petrol) maeneo ya Tungi kigamboni jijini Dar es salaam. Uwepo wa mradi huu unaenda kuongeza kasi ya upatikanaji wa mafuta ikiwemo bandarini. #MamaYukoKazini

Serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 678 kwa ajili ya Ujenzi wa matenki 14 ya mafuta (Dizeli &amp; petrol) maeneo ya Tungi kigamboni jijini Dar es salaam.

Uwepo wa  mradi huu unaenda kuongeza kasi ya upatikanaji wa mafuta ikiwemo bandarini.

#MamaYukoKazini
MR BEN (@eric__bernard) 's Twitter Profile Photo

Kuna Mbunge hapa anachangia Bajeti ya Wizara ya Afya amekuja na P2 Bungeni anawaonyesha wabunge.. Anasema Elimu itolewe sana watoto wa kike wanakula P2 vibaya mno!!! ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

MR BEN (@eric__bernard) 's Twitter Profile Photo

CHADEMA imepoteza sana Aisee Kamanda Ntobi alikua Mtu muhimu sana, Bingwa wa Mapambano, Mikakati na Programu nyingi za Chama zilikua Chini yake... Naskia Makamanda mbalimbali mikoani wanachana bendera na Kuchoma Sare baada ya Kamanda Ntobi Kuondoka... Pigo Kubwa hili ๐Ÿ™Œ

MR BEN (@eric__bernard) 's Twitter Profile Photo

Aisee CHAUMMA ni Balaa sijawahi kushuhudia Maandamano yenye Umati Mkubwa wa watu kama haya ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ Aisee CHAUMMA mnatoa wapi Nyomi kiasi hiki?