Eng. Frank Thomas (@engfrankthomas) 's Twitter Profile
Eng. Frank Thomas

@engfrankthomas

I provide technical support to businesses |Handwriting? Not my thing |Christian

ID: 624127168

linkhttp://jfcreatives.co.tz calendar_today01-07-2012 21:59:01

5,5K Tweet

703 Followers

3,3K Following

Yericko Nyerere (@yerickonyereret) 's Twitter Profile Photo

Ni RASMI SARAFU na NOTI mpya ya Brics imezinduliwa jana 23/11/2024 mbele ya Mkutano wa BRICS mjini Kazan nchini Urusi. Sarafu hii ni mbadala wa Sarafu ya kikoloni mamboleo ya Dola ambayo imeongozwa na Marekani kwa karne kadhaa sasa duniani, na kufanya dunia kuwa na ukoloni wa

TBCOnline (@tbconlinetz) 's Twitter Profile Photo

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimepatiwa Dola Milioni 47.5 za Kimarekani ambazo ni sawa na zaidi ya shilingi Bilioni 100, kwa ajili ya kutekeleza Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET)

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam  kimepatiwa Dola Milioni 47.5 za Kimarekani ambazo ni sawa na zaidi ya shilingi Bilioni 100, kwa ajili ya kutekeleza Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET)
Moyo wa TAIFA โ„ข๏ธ (@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Nahitaji Vichanja vya kubeba huu mzigo kutoka Mtwango (Makambako) Kuja Dar.... Gari iwe na uwezo wa kubeba Tani 30. Nahitaji gari za kutosha. 0672808100.

Nahitaji Vichanja vya kubeba huu mzigo kutoka Mtwango (Makambako) Kuja Dar....

Gari iwe na uwezo wa kubeba Tani 30.

Nahitaji gari za kutosha.

0672808100.
The Citizen Tanzania (@thecitizentz) 's Twitter Profile Photo

WE MISSED YOU TOO! We thank you for your patience during our offline period and now, weโ€™re beyond thrilled to announce #WeAreBackOnline Get ready for the most trusted news, stories, and updates delivered straight to your fingertips every day. Follow us on social media and visit

The Hustler (@mashonjr) 's Twitter Profile Photo

Wakazi wa Singida tunajivunia kazi ya Rais Samia Suluhu kwa kuinganisha Singida na Simiyu kwa kujenga daraja Sibiti (M 82) pamoja na maungio yake ya barabara (KM 25). #MamaYukoKazini

Wakazi wa Singida tunajivunia kazi ya Rais Samia Suluhu kwa kuinganisha Singida na Simiyu kwa kujenga daraja Sibiti (M 82) pamoja na maungio yake ya barabara (KM 25).

#MamaYukoKazini
Eng Octavian Lasway (@octavianlasway) 's Twitter Profile Photo

Sheria ya mpya ya uchaguzi na ushirikiano wa vyama vya siasa imebana sana haya mambo , inaeleza kuwa vyama vinavyotakiwa kushirikiana lazima viwe na MoU na Mkataba na hizi zote zipitishwe kwa msajili wa vyama na akubali , vinatakiwa kuwasilisha mashirikiano hayo 6 months before

The Citizen Tanzania (@thecitizentz) 's Twitter Profile Photo

As you start your week, Mwanaclick allows you to read incredible news from The Citizen newspaper, stay informed with updates from all over the world this Monday, November 11, 2024. Get your copy at your nearest newsstand or read online via Mwanaclick. For Android users:

As you start your week, Mwanaclick allows you to read incredible news from The Citizen newspaper, stay informed with updates from all over the world this Monday, November 11, 2024.

Get your copy at your nearest newsstand or read online via Mwanaclick.

For Android users: