Holy
@yose_hoza
Digital Manager | Media Strategic | Telecommunication Engineer
ID:3039495909
15-02-2015 19:26:56
387,8K Tweets
153,6K Followers
32,2K Following
Mambo yanayovutia ni pamoja na kuona vijana wakiamua kusambaza ujumbe wa ku #MalizaUnyanyapaaKwenyeAfyaYaUzazi kwenye vyombo vyao vya usafiri, elimu ikiwafikia wadau wengi na kutambua afya ya uzazi ni haki ya kila mmoja #EndStigmaOnSRH
MIRIAM๐ That is ..!
Kwa Mwezi Mbunge anapokea Milioni 11,000,000
Kwa mwaka atapokea 132,000,000
Kwa miaka mitano atapokea Jumla 660,0000
Huu ni mshahara tu hujaweka kiinua Mgongo, bado Sitting allowance, bado Posho mbalimbali.
Mapema leo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia kuhusu Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano. Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amegusia historia ya muungano na kuwapongeza viongozi wa serikali zote mbili kwa uongozi wao katika kuuenzi na kuudumisha muungano.
#DiraYaSamia
Wanafunzi wa shule ya sekondari Juhudi na Buyuni wameungana na The LaunchPad kwa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika ICT. Pamoja na LP Digital & Women and Technology Tanzania, tunafungua njia kwa vipaji vipya katika teknolojia. Femina Hip log.ai
#GirlsInICT #TechWomenTz
Wizara imeendelea kukiwezesha kituo cha Huduma kwa Wateja kufanya kazi kwa muda wa siku saba 7 za wiki kuanzia saa 1:30 asubuhi hadi saa 4:00 usiku.
Ambapo hadi kufikia Aprili,2024 kituo hicho kimepokea simu 21,754 za wadau kuhusu..
#BajetiKilimo
Katika Kuadhimisha Miaka 60 ya Muungano wa Tanzania, Songa na Samia SS, inaaangazia mchango wa Rais Samia Suluhu Hassan katika Muungano huo tangu akiwa Waziri na Makamu wa Rais kwenye masuala hayo.
#mamayukokazini
#BajetiYaKilimo Wizara imenunua na kusambaza visanduku vya Ugani 1,000 kwa Maafisa Ugani kilimo 1,000 katika mikoa ya Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Ruvuma, Rukwa na Katavi sawa na asilimia 25 ya lengo. Kadhalika, magari 46 na pikipiki 550 kwa ajili ya Maafisa Ugani ngazi ya
#BajetiKilimo Wizara imenunua vishikwambi 4,446. Kati ya hivyo vishikwambi 946 vimesambazwa na usambazaji unaendelea kwa ajili ya usajili wa wakulima, kukusanya taarifa kuchukua alama za nukta katika mashamba ya wakulima na utoaji wa huduma za ugani kwa njia ya kidigiti na