Final here we comeπ¦ππΎ, Ahsanteni mashabiki zetu na watanzania wote mliotuombea duaπ€²πΎ lakini kwa kipekee sana niwashukuru watanzania mnaoishi hapa Afrika kusini mmekuja kwa wingi na mmetupa nguvu sana tulikuwa kama tupo nyumbani mungu awabarikiππΎππΎ #Nguvumoja