Yanga TOT Fans 🔰 (@yangatotfans) 's Twitter Profile
Yanga TOT Fans 🔰

@yangatotfans

Tawi la Yanga Twitter Family.

ID: 1397109630552137730

linkhttps://www.yangatwitterfamily.co.tz calendar_today25-05-2021 08:38:02

4,4K Tweet

6,6K Followers

29 Following

Temidayo (@thisistemidayo) 's Twitter Profile Photo

“Kwa wanachama wote wa Yanga waliosafiri kuja Kigali, Tiketi za Mchezo wa Kesho Zimelipiwa” - Rais Eng. Hersi (Rwanda) #YangaInRwanda

“Kwa wanachama wote wa Yanga waliosafiri kuja Kigali, Tiketi za Mchezo wa Kesho Zimelipiwa” - Rais Eng. Hersi  (Rwanda) #YangaInRwanda
Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

Uongozi wa Young Africans, chini ya Rais Eng Hersi Said, Makamu wa Rais Arafat Haji na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji wametoa ofa ya kuwanunulia tiketi mashabiki wote waliosafiri kuja Kigali, Rwanda kwa ajili ya mchezo wetu wa kesho dhidi ya Al-Merrikh SC #TimuYaWananchi

Yanga TOT Fans 🔰 (@yangatotfans) 's Twitter Profile Photo

Siku ya Jana kuelekea kilele cha wiki ya #Mwananchi tulipata wasaa wa kutembelea shule ya Msingi Twangoma Katika Idara ya wanafunzi wenye uhitaji Maalumu wasioona. Na Kufikisha tulichojaaliwa kama Tawi la Wanachama wa Yanga kutoka kwenye mtandao huu wa X.