Naona vijana wa TAPELI KAPOLA wanajificha kwenye kichaka cha Manabii wa zamani kwamba:
Mbona Mussa hatumbishii alipasua Bahari ya sham kwa Fimbo.
Mbona hatumbishii Nuhu na story yake ya safina.
Mbona hatumbishii YONA na story yake ya kumezwa na PAPA.
Mbona hatumbishii DANIEL