Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia yaHabari (@wizaramth) 's Twitter Profile
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia yaHabari

@wizaramth

Akaunti hii inatoa habari /taarifa Mbalimbali za Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

ID: 1336983322254249985

linkhttp://www.mawasiliano.go.tz calendar_today10-12-2020 10:37:47

4,4K Tweet

15,15K Followers

10 Following

Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia yaHabari (@wizaramth) 's Twitter Profile Photo

BADO SIKU 6! Jiandae kwa Mkutano Mkuu wa 14 wa Afrika wa Jukwaa la Utawala wa Mtandao (AfIGF) Tarehe: Mei 29 - 31, 2025 Mahali: JNICC, Dar es Salaam, Tanzania Kaulimbiu: Kuwezesha Mustakabali wa Kidijitali wa Afrika. #AfIGF2025 #MtandaoAfrika #Kidijitali #TanzaniaYaKidijitali

BADO SIKU 6!
Jiandae kwa Mkutano Mkuu wa 14 wa Afrika wa Jukwaa la Utawala wa Mtandao (AfIGF)
Tarehe: Mei 29 - 31, 2025
Mahali: JNICC, Dar es Salaam, Tanzania
Kaulimbiu: Kuwezesha Mustakabali wa Kidijitali wa Afrika.

#AfIGF2025 #MtandaoAfrika #Kidijitali #TanzaniaYaKidijitali
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia yaHabari (@wizaramth) 's Twitter Profile Photo

BADO SIKU 2! Jiandae kwa Mkutano Mkuu wa 14 wa Afrika wa Jukwaa la Utawala wa Mtandao (AfIGF) Tarehe: Mei 29 - 31, 2025 Mahali: JNICC, Dar es Salaam, Tanzania Kaulimbiu: Kuwezesha Mustakabali wa Kidijitali wa Afrika. igf.africa | mawasiliano.go.tz #AfIGF2025

BADO SIKU 2!
Jiandae kwa Mkutano Mkuu wa 14 wa Afrika wa Jukwaa la Utawala wa Mtandao (AfIGF)
Tarehe: Mei 29 - 31, 2025
Mahali: JNICC, Dar es Salaam, Tanzania
Kaulimbiu: Kuwezesha Mustakabali wa Kidijitali wa Afrika.

igf.africa | mawasiliano.go.tz

#AfIGF2025
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia yaHabari (@wizaramth) 's Twitter Profile Photo

BADO SIKU 2! Jiandae kwa Mkutano Mkuu wa 14 wa Afrika wa Jukwaa la Utawala wa Mtandao (AfIGF) Tarehe: Mei 29 - 31, 2025 Mahali: JNICC, Dar es Salaam, Tanzania Kaulimbiu: Kuwezesha Mustakabali wa Kidijitali wa Afrika. #AfIGF2025 #MtandaoAfrika #Kidijitali #TanzaniaYaKidijitali

BADO SIKU 2!
Jiandae kwa Mkutano Mkuu wa 14 wa Afrika wa Jukwaa la Utawala wa Mtandao (AfIGF)
Tarehe: Mei 29 - 31, 2025
Mahali: JNICC, Dar es Salaam, Tanzania
Kaulimbiu: Kuwezesha Mustakabali wa Kidijitali wa Afrika.

#AfIGF2025 #MtandaoAfrika #Kidijitali #TanzaniaYaKidijitali
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia yaHabari (@wizaramth) 's Twitter Profile Photo

Kuelekea jukwaa la wadau wa Utawala wa mtandao barani Afrika(AfIGF) Mkurugenzi wa Tume ya Tehama Tanzania Dkt. Nkundwe Moses Mwasaga atashiriki kama msemaji katika jukwaa hilo. #AfIGF2025 #MtandaoAfrika #Kidijitali #TanzaniaYaKidijitali #UtawalaWaMtandao

Kuelekea jukwaa la wadau wa Utawala wa mtandao barani Afrika(AfIGF) Mkurugenzi wa Tume ya Tehama Tanzania Dkt. Nkundwe Moses Mwasaga atashiriki kama msemaji katika jukwaa hilo. 

#AfIGF2025 #MtandaoAfrika #Kidijitali #TanzaniaYaKidijitali #UtawalaWaMtandao
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia yaHabari (@wizaramth) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb.) amefanya mazungumzo na wawekezaji wa masuala ya Mawasiliano kutoka kampuni ya United Advocates kutoka Dubai tarehe 28 Mei, 2025 jijini Dodoma.

Hafla ya ufunguzi wa Jukwaa la 14 la Utawala wa Mtandao Afrika (AfIGF 2025), Mei 30, 2025, katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania. #AfIGF2025 #AfricaIGF #enhancingafricasdigitalfuture

Hafla ya ufunguzi wa Jukwaa la 14 la Utawala wa Mtandao Afrika (AfIGF 2025), Mei 30, 2025, katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania.

#AfIGF2025 #AfricaIGF #enhancingafricasdigitalfuture
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia yaHabari (@wizaramth) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb.) akifungua Mkutano wa 14 wa Jukwaa la Afrika la Utawala wa Mtandao (AfIGF 2025), Mei 30, 2025, katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania. #AfIGF2025

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb.) akifungua Mkutano wa 14 wa Jukwaa la Afrika la Utawala wa Mtandao (AfIGF 2025), Mei 30, 2025, katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania.

#AfIGF2025