Vimsafiitz_ (@vimsafiitz_) 's Twitter Profile
Vimsafiitz_

@vimsafiitz_

🇹🇿 TANZANIA BOY🇹🇿 🇬🇧GBPJPY🇯🇵 🤞FOREX TRADER.BITCOIN 🪙 forever 😎

ID: 1490430640097013762

calendar_today06-02-2022 21:02:50

197 Tweet

145 Followers

965 Following

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Tangu nije hapa duniani hakuna mwaka nimeona maisha yangu yakitawaliwa na huzuni kama 2024. Kila siku, kila wiki, kila mwezi—2024 umenifundisha kitu kipya. Tutajaribu tena 2025🙌

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Ila kuna waungwana wana makasiriko sana... yani kisa nina IQ ya 150 watu wananichukia, je ningekuwa na IQ 200? Hata kupost tu laki 2 unaitwa filimasoni

Ila kuna waungwana wana makasiriko sana... yani kisa nina IQ ya 150 watu wananichukia, je ningekuwa na IQ 200? Hata kupost tu laki 2 unaitwa filimasoni