Victor Maleko (@victorkepha) 's Twitter Profile
Victor Maleko

@victorkepha

Media Strengthening•Championing ECD•ITP Africa ‘19•Media For Democracy & Pluralism Fellowship‘18 •Digital Safety•Mkulima•Yanga•ManUtd•Celebrating Small Wins•

ID: 246211599

calendar_today02-02-2011 11:03:54

28,28K Tweet

3,3K Followers

1,1K Following

Victor Maleko (@victorkepha) 's Twitter Profile Photo

Tafsiri ya kufungiwa kwa JamiiForums maanake pia JamiiCheck haitafanya kazi. Waliofanya maamuzi haya maanake pia wanatoa mwanya kwa Siku 90 taarifa potofu kupenya na kuwafikia walaji bila kuchujwa au kudhibitiwa. Hatari sana hii.

Victor Maleko (@victorkepha) 's Twitter Profile Photo

Kusema za ukweli, Mtani kumchukua Mbosso kwenye burudani kaua sana. Ubunifu wa Mbosso umesongesha sana tamasha la mtani🙌🏽

Victor Maleko (@victorkepha) 's Twitter Profile Photo

Hivi ni tukio gani la kisiasa limefanyika kwenye level hizi za Yanga na Simba day. 🤷🏽‍♂️🤷🏽‍♂️🤷🏽‍♂️

Victor Maleko (@victorkepha) 's Twitter Profile Photo

Nadhani mimi ni mtu nimejifunza mengi sana kwenye hili. I would say it’s worth doing, na sio lazima pesa, hata kwa namna nyingine lakini avuke kwenye hiyo changamoto salama.