Victoria C Mwanziva(@victoriacharlz) 's Twitter Profileg
Victoria C Mwanziva

@victoriacharlz

District Commissioner- LUDEWA, Njombe Region. Government of the United Republic of Tanzania 🎓 Master’s Degree in Public Administration 🇹🇿 #LudewaYetu

ID:101436346

linkhttps://linktr.ee/victoriamwanziva calendar_today03-01-2010 08:43:12

39,2K Tweets

31,3K Followers

1,8K Following

Victoria C Mwanziva(@victoriacharlz) 's Twitter Profile Photo

Ulikuwa wakati mwema kushiriki kikao cha maandalizi ya NaneNane Kikanda 2024- Mkoani Mbeya
Kikao kazi hichi cha maandalizi kimeonesha dira na Taswira sahihi ya jinsi tutakavyoratibu na kuandaa maonesho ya Nane Nane 2024 katika kanda yetu ya Nyanda za Juu Kusini.
Maonesho ya…

Ulikuwa wakati mwema kushiriki kikao cha maandalizi ya NaneNane Kikanda 2024- Mkoani Mbeya Kikao kazi hichi cha maandalizi kimeonesha dira na Taswira sahihi ya jinsi tutakavyoratibu na kuandaa maonesho ya Nane Nane 2024 katika kanda yetu ya Nyanda za Juu Kusini. Maonesho ya…
account_circle
Yasushi Misawa 三澤康(@JapanAmb_TZ) 's Twitter Profile Photo

I’m thrilled to announce that applications for the Japanese government-funded scholarships are now open!
Karibuni Japan! 🇹🇿 🎓🇯🇵
For more information, please visit our website.
tz.emb-japan.go.jp/itpr_ja/MEXT20…

I’m thrilled to announce that applications for the Japanese government-funded scholarships are now open! Karibuni Japan! 🇹🇿 🎓🇯🇵 For more information, please visit our website. tz.emb-japan.go.jp/itpr_ja/MEXT20…
account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Katika Kipindi cha Pili cha -SS, tunaangazia uwekezaji, utekelezaji na maendeleo ya mradi wa Bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere. Hii ni -SS

account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Nawatakia nyote kheri tunapoadhimisha Miaka 60 ya Muungano wetu. Hii ni tunu yetu sote, matokeo ya kazi ya kila Mtanzania kuanzia waasisi wetu mpaka sasa. Tumejenga nyumba imara ya Tanzania katika misingi ya utu, udugu na uanamajumui wa Afrika hatua kwa hatua, chini ya kila awamu…

Nawatakia nyote kheri tunapoadhimisha Miaka 60 ya Muungano wetu. Hii ni tunu yetu sote, matokeo ya kazi ya kila Mtanzania kuanzia waasisi wetu mpaka sasa. Tumejenga nyumba imara ya Tanzania katika misingi ya utu, udugu na uanamajumui wa Afrika hatua kwa hatua, chini ya kila awamu…
account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tarehe 26 Aprili, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tarehe 26 Aprili, 2024.
account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Sherehe hizo zimefanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024.

Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kushuka kwenye gari Maalum la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, 26 Aprili, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kushuka kwenye gari Maalum la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, 26 Aprili, 2024.
account_circle
Victoria C Mwanziva(@victoriacharlz) 's Twitter Profile Photo

LUDEWA TUNATUNZA MAZINGIRA YETU; MATUKIO KATIKA PICHA

✅Muendelezo wa Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
✅Zoezi la Usafi katika Soko Kuu la Wilaya ya Ludewa
✅ Zoezi la Usafi katika Stendi- Wilaya ya Ludewa
✅Kupanda Miti kando kando ya Barabara za…

LUDEWA TUNATUNZA MAZINGIRA YETU; MATUKIO KATIKA PICHA ✅Muendelezo wa Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ✅Zoezi la Usafi katika Soko Kuu la Wilaya ya Ludewa ✅ Zoezi la Usafi katika Stendi- Wilaya ya Ludewa ✅Kupanda Miti kando kando ya Barabara za…

ASANTEN VIKOSI VYA ULINZI NA USALAMA KWA USHIRIKIANO WENU

LUDEWA TUNATUNZA MAZINGIRA YETU; MATUKIO KATIKA PICHA

✅Muendelezo wa Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
✅Zoezi la Usafi katika Soko Kuu la Wilaya ya Ludewa
✅ Zoezi la Usafi katika Stendi-…

ASANTEN VIKOSI VYA ULINZI NA USALAMA KWA USHIRIKIANO WENU LUDEWA TUNATUNZA MAZINGIRA YETU; MATUKIO KATIKA PICHA ✅Muendelezo wa Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ✅Zoezi la Usafi katika Soko Kuu la Wilaya ya Ludewa ✅ Zoezi la Usafi katika Stendi-…
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Nimefarijika kwa ujumbe wa video toka Shule ya Sekondari ya Misufini, Kijiji cha Misufini, Kata ya Ndungu, Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro wa wanafunzi Ibrahim na Mwanaulu pamoja na wazazi wao, kuhusu mabadiliko na uboreshaji wa elimu uliofanyika kwenye kata yao katika kipindi…

account_circle
Victoria C Mwanziva(@victoriacharlz) 's Twitter Profile Photo

LUDEWA TUNATUNZA MAZINGIRA YETU

✅Muendelezo wa Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
✅Zoezi la Usafi katika Soko Kuu la Wilaya ya Ludewa
✅Kupanda Miti kando kando ya Barabara za Mjini Ludewa

Muda: Saa Tatu Asubuhi
Mahali: Soko Kuu Wilaya ya Ludewa…

LUDEWA TUNATUNZA MAZINGIRA YETU ✅Muendelezo wa Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ✅Zoezi la Usafi katika Soko Kuu la Wilaya ya Ludewa ✅Kupanda Miti kando kando ya Barabara za Mjini Ludewa Muda: Saa Tatu Asubuhi Mahali: Soko Kuu Wilaya ya Ludewa…
account_circle