Tanzania Embassy I Japan 在日タンザニア大使館 (@ubalozijapan) 's Twitter Profile
Tanzania Embassy I Japan 在日タンザニア大使館

@ubalozijapan

The official account of The Embassy of Tanzania to Japan. Also accredited to Australia, New Zealand & Papua New Guinea 在日タンザニア連合共和大使館公式アカウント

ID: 1486555242724720641

linkhttp://jp.tzembassy.go.tz/ calendar_today27-01-2022 04:24:20

1,1K Tweet

3,3K Followers

60 Following

Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA URAFIKI WA WABUNGE WA JAPAN NA AFRIKA Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Mei 29, 2025 amezungumza na Mwenyekiti  wa Chama cha Wabunge wa Japan cha Urafiki na Afrika  Ichiro Aisawa, kwenye Ofisi za Bunge la Japan. whatsapp.com/channel/0029Va…

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA URAFIKI WA WABUNGE WA JAPAN NA AFRIKA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Mei 29, 2025 amezungumza na Mwenyekiti  wa Chama cha Wabunge wa Japan cha Urafiki na Afrika  Ichiro Aisawa, kwenye Ofisi za Bunge la Japan.

whatsapp.com/channel/0029Va…
Tanzania Embassy I Japan 在日タンザニア大使館 (@ubalozijapan) 's Twitter Profile Photo

H.E. AMBASSADOR BARAKA LUVANDA SHARES VISION FOR TICAD 9 AND BEYOND IN INTERVIEW WITH NIKKEI MEDIA OF JAPAN 🇹🇿🇯🇵 #TICAD9 👉🏽 jp.tzembassy.go.tz/resources/view…

Yoichi Mikami (@japanamb_tz) 's Twitter Profile Photo

My trip to Dodoma was very fruitful. I had the honor of meeting Hon. Dr. Tulia Ackson, Speaker of the National Assembly, and Hon. Dr. Stergomena Tax, Minister of Defence and National Service. We discussed many issues for further strengthening our bilateral relationship.

The association of Tanzanian Students in Japan (@tsj_association) 's Twitter Profile Photo

🗓️ Yesterday, TSJ held a virtual session for Tanzanian applicants invited for the MEXT written exam by the Embassy of Japan 🇯🇵. MEXT scholars shared their experiences, offering valuable guidance to help applicants prepare. #TSJ #MEXT #StudyInJapan #TanzaniaJapan

🗓️ Yesterday, TSJ held a virtual session for Tanzanian applicants invited for the MEXT written exam by the Embassy of Japan 🇯🇵.
MEXT scholars shared their experiences, offering valuable guidance to help applicants prepare.
#TSJ #MEXT #StudyInJapan #TanzaniaJapan
Tanzania Embassy I Japan 在日タンザニア大使館 (@ubalozijapan) 's Twitter Profile Photo

Mheshimiwa Balozi Baraka Luvanda ametembelewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Ubongo na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI), Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya. Katika mazungumzo yao, viongozi hao walijadili kwa kina fursa mbalimbali zinazoweza kuendelezwa kupitia

Mheshimiwa Balozi Baraka Luvanda ametembelewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Ubongo na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI), Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya. 

Katika mazungumzo yao, viongozi hao walijadili kwa kina fursa mbalimbali zinazoweza kuendelezwa kupitia
Tanzania Embassy I Japan 在日タンザニア大使館 (@ubalozijapan) 's Twitter Profile Photo

Mheshimiwa Balozi Baraka Luvanda ametembelewa na wanafunzi sita kutoka Chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) waliokuwa nchini Japan kwa ziara ya mafunzo ya wiki mbili, wakiambatana na walimu wao wawili pamoja na mwakilishi kutoka Shirika la Maendeleo la Kimataifa la

Leo, Mhe. Balozi Baraka Luvanda amepokea Ujumbe kutoka Ofisi ya Sera ya Afya (Healthcare Policy) ya Sekretarieti ya Baraza la Mawaziri la Serikali ya Japan. Lengo la ujio wa Ujumbe huo ni kujitambulisha pamoja na kumshirikisha Mhe. Balozi kuhusu maandalizi ya Mkutano Maalum wa

STRENGTHENING HEALTH SECTOR PARTNERSHIPS BETWEEN TANZANIA AND JAPAN 🇹🇿🇯🇵 His Excellency Ambassador Baraka Luvanda visited Terumo Corporation’s Medical Pranex facility in Japan as part of the Embassy's efforts to strengthen public-private partnerships (PPP) in healthcare. The

STRENGTHENING HEALTH SECTOR PARTNERSHIPS BETWEEN TANZANIA AND JAPAN 🇹🇿🇯🇵

His Excellency Ambassador Baraka Luvanda visited Terumo Corporation’s Medical Pranex facility in Japan as part of the Embassy's efforts to strengthen public-private partnerships (PPP) in healthcare. The
Tanzania Embassy I Japan 在日タンザニア大使館 (@ubalozijapan) 's Twitter Profile Photo

TIMU YA TANZANIA YA SOFTBALL YA WANAWAKE CHINI YA MIAKA 18 YASHIRIKI MASHINDANO YA KIMATAIFA YA KOMBE LA UTSUGI 2025 KATIKA MJI WA TAKASAKI NCHINI JAPAN 👉🏽 jp.tzembassy.go.tz/resources/view… Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

TIMU YA TANZANIA YA SOFTBALL YA WANAWAKE CHINI YA MIAKA 18 YASHIRIKI MASHINDANO YA KIMATAIFA YA KOMBE LA UTSUGI 2025 KATIKA MJI WA TAKASAKI NCHINI JAPAN

👉🏽 jp.tzembassy.go.tz/resources/view…

<a href="/WizaraSanaa/">Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.</a>
Tanzania Embassy I Japan 在日タンザニア大使館 (@ubalozijapan) 's Twitter Profile Photo

It is a delight to share that 13 distinguished Japanese companies are currently participating in the Dar es Salaam International Trade Fair (DITF), famously known as Saba Saba, from 28 June - 13 July 2025. Their presence underscores the continued deepening of trade, investment,

📍MAADHIMISHO YA 4 YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI 🇹🇿🇯🇵 Japan – Mshirika wa Maendeleo ya Lugha ya Kiswahili Kimataifa 👉🏽👉🏽jp.tzembassy.go.tz/resources/view…

Tanzania Embassy I Japan 在日タンザニア大使館 (@ubalozijapan) 's Twitter Profile Photo

HOTUBA YA MHE. BARAKA LUVANDA, BALOZI WA TANZANIA NCHINI JAPAN WAKATI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI NA HAFLA YA KUFUNGA WIKI YA EXPO YA UTAMADUNI NA KISWAHILI, OSAKA, TAREHE 7 JULAI 2025 👉🏽👉🏽jp.tzembassy.go.tz/resources/view…

HOTUBA YA MHE. BARAKA LUVANDA, BALOZI WA TANZANIA NCHINI JAPAN WAKATI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI NA HAFLA YA KUFUNGA WIKI YA EXPO YA UTAMADUNI NA KISWAHILI, OSAKA, TAREHE 7 JULAI 2025

👉🏽👉🏽jp.tzembassy.go.tz/resources/view…
Maelezo News (@maelezonews) 's Twitter Profile Photo

Kutana na kikundi cha Wajapani wanaoimba kwa lugha ya kigogo na mwanadada Inoue Mayuko, mwalimu wa Kiswahili na mwandishi wa habari za Kiswahili, kutokea Japani.