Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile
Twaha Mwaipaya

@twaha_mwaipaya

Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) 2019-2025

Prison graduate 133 days in jail.

ID: 1230407338873495552

linkhttps://whatsapp.com/channel/0029VaWFNTgBKfhysSbtr50e calendar_today20-02-2020 08:22:46

20,20K Tweet

312,312K Followers

3,3K Following

Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

Leo nilifika hospitalini kuangalia maendeleo ya afya yangu baada ya ukatili wa tarehe 24.4.2025 mahakamani, kupigwa ununio na kutupwa bagamoyo, namshukuru Mungu nipo sawa kabisa, ni mwendo wa #NoReformsNoElection

Watanzania waishio nje ya nchi wanaandamana muda huu Washington DC kushinikiza serikali ya Tazanzia kuwaachilia huru mateka wote na Mh. Tundu Lissu

Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

Muda huu Mh. John Heche akiingia ukumbini kuzungunza na vijana wa vyuo vikuu CHASO, makao makuu ya Chadema mikocheni. #NoReformsNoElection

Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

Muda huu nikiwa kata ya Boma Ng'ombe Jimbo la Hai Mko wa Kilimanjaro, kwenye maandalizi ya mkutano wa NO REFORMS NO ELECTION utakao fanyika siku ya kesho viwanja wa Half London kuanzia saa 8:00 mchana hadi 12:00 jioni.

Maandalizi ya mkutano wa NO REFORMS NO ELECTION hapa Hai yanaenda na VIBE, mkutano utafnyika kata ya Boma Ng'ombe Viwanja vya Half London Boma.

Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

Muda huu nikiwa Jimbo la Same magharibi kwenye maandalizi (Matangazo) ya Mkutano wa NO REFORMS NO ELECTION utakaofanyika leo kuanzia saa 8:00 mchana mpaka saa 12:00 jioni viwanja vya Kwasakwasa mgeni rasmi ni Mh. John Heche.

Reuben Lukumay ole CDM (@reubenlukumay) 's Twitter Profile Photo

Nipo kwenye bus 🚌 naelekea dsm nimekuta gari ya CDM inatangaza mkutano wa leo hapa SAME. Nimekusikia Twaha Mwaipaya ukihamasisha na kuwaambia wananchi wasiogope polisi (nimeona polisi mbele ako)# wala mwenyekiti wala mtendaji...KAMANDA unapiga kazi ya kitume Mungu ATAKULIPA.

Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

DAKIKA 11 ZA WAKILI PETER KIBATALA AKIJIBU HOJA ZA MAWAKILI WA SERIKALI WALIOSEMA LISSU AMETUKANA NDANI YA MAHAKAMA KWA KUSEMA NO REFORMS NO ELECTION.

Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

Bila shaka hiki ndicho anachokipenda sana rais Samia kuona watanzania wanapigwa kila siku, kama angekuwa hapendi angechukua hatua.