Bongo Tunes (@tunes_bongo) 's Twitter Profile
Bongo Tunes

@tunes_bongo

🎶#BongoFlava | #MuzikiWaBongo 🔥Tunakuletea hits mpya zaidi kutoka Tanzania!🎵#BongoMusic | #Tanzania

ID: 1906804619608776704

calendar_today31-03-2025 20:23:57

1,1K Tweet

612 Followers

864 Following

Bongo Tunes (@tunes_bongo) 's Twitter Profile Photo

#Dundo jipya sokoni Ngoma inaitwa gere ya #whozu ft Alikiba Ni ngoma flani ya #BongoFlava yenye miondoko ya dance ya kuchangamsha. Whozu kaimba mapenzi humu ndani, ila sauti ya kiba imekuja kuongeza hisia zaidi. 🫡🔥 Nani katisha?? #EnjoyMusic #BongoFlava

#Dundo jipya sokoni
Ngoma inaitwa gere ya #whozu ft Alikiba
Ni ngoma flani ya #BongoFlava yenye miondoko ya dance ya kuchangamsha.

Whozu kaimba mapenzi humu ndani, ila sauti ya kiba imekuja kuongeza hisia zaidi. 🫡🔥

Nani katisha??

#EnjoyMusic #BongoFlava
Bongo Tunes (@tunes_bongo) 's Twitter Profile Photo

#Marioo amekuja na ngoma mpya inayoenda kwa jina la #Tete ikiwa humu ndani kuna mixer ya ladha ya kwaito ikiwa na mchanganiko wa bongofleva na kuifanya kua ngoma kali sasa. Tusikie kutoka kwako nini kimekuvutia zaidi kwenye hii ngoma. YT: youtu.be/d4kw5Wdwq0A?si… #BongoFlava

Bongo Tunes (@tunes_bongo) 's Twitter Profile Photo

KUNA yake SIMBA..!🦁 ikiwa na masaa machache tu tangu kuachiwa kwake. Inaenda na miondoko ya mduara. Na hua anafanyaga poa sana kwenye angle hizi huyu jamaa. Enjoy good Music #BongoFlava YT: youtu.be/tYpsE-r7NqQ?si… Tukaongeze number kwa Simba

KUNA yake SIMBA..!🦁 ikiwa na masaa machache tu tangu kuachiwa kwake. Inaenda na miondoko ya mduara. Na hua anafanyaga poa sana kwenye angle hizi huyu jamaa.

Enjoy good Music #BongoFlava
YT: youtu.be/tYpsE-r7NqQ?si…
Tukaongeze number kwa Simba
Bongo Tunes (@tunes_bongo) 's Twitter Profile Photo

#Jux akiwa na king of Ezege EZEGE 1 wamekuja na GOD DESIGN inamiondoko ya kiasili ya Nigeria ikiw ni chaguo zuri kufanya na #phyno maana yeye ndo mkali wa ngoma za miondoko iyoo. Ngoma kali sana 🔥 YT: youtu.be/LXTZxAyt5XQ?si… Tukajaze numbers Enjoy good music #BongoFlava

#Jux akiwa na king of Ezege EZEGE 1 wamekuja na GOD DESIGN inamiondoko ya kiasili ya Nigeria ikiw ni chaguo zuri kufanya na #phyno maana yeye ndo mkali wa ngoma za miondoko iyoo. Ngoma kali sana 🔥

YT: youtu.be/LXTZxAyt5XQ?si…
Tukajaze numbers

Enjoy good music #BongoFlava
Bongo Tunes (@tunes_bongo) 's Twitter Profile Photo

Ngoma mpya sokoni Kutoka kwa GeniusJinix66 . Jini kaachia ngoma mbili, #napendwa na #uwii. Ni ngoma za mapenzi #Enjoymusic #BongoFlava music.youtube.com/watch?v=Fv7rgT…

Ngoma mpya sokoni

Kutoka kwa GeniusJinix66 . Jini kaachia ngoma mbili, #napendwa na #uwii. Ni ngoma za mapenzi
#Enjoymusic #BongoFlava

music.youtube.com/watch?v=Fv7rgT…
Bongo Tunes (@tunes_bongo) 's Twitter Profile Photo

New banger in town #Huku ni ngoma ya #phina ft #Gnako. Ngoma flani ya #BongoFlava iliyochanganywa na afropop. Kazi nzuri imepigwa na Zombie 🇹🇿 #EnjoyMusic music.youtube.com/watch?v=K3Ek4v…

New banger in town
#Huku ni ngoma ya #phina ft #Gnako. Ngoma flani ya #BongoFlava iliyochanganywa na afropop. Kazi nzuri imepigwa na Zombie 🇹🇿
#EnjoyMusic

music.youtube.com/watch?v=K3Ek4v…
Bongo Tunes (@tunes_bongo) 's Twitter Profile Photo

#Mabantu wametoa video ya ngoma yao mpya inaenda kama TOTO LA KIGAMBONI. Ngoma kali sana, twendeni YouTube: youtu.be/fLYxOKOozPk?si… tukaongeze numbers kidogo. Enjoy good music #BongoFlava

Bongo Tunes (@tunes_bongo) 's Twitter Profile Photo

New piano. #kontawa ameachia ngoma mpya iitwayo #Bongo. Ni wimbo wa #BongoFlava wenye asili ya amapiano. Wimbo upo kwenye platform zote za muziki music.youtube.com/watch?v=kdr0Lp…

New piano.
#kontawa ameachia ngoma mpya iitwayo #Bongo. Ni wimbo wa #BongoFlava wenye asili ya amapiano.

Wimbo upo kwenye platform zote za muziki

music.youtube.com/watch?v=kdr0Lp…
Bongo Tunes (@tunes_bongo) 's Twitter Profile Photo

#Kondeboy Harmonize 🐘 ameachia wimbo mpya wa gospel uitwao #yeye. Wimbo umefanywa kama remix ya wimbo wake wa #furaha music.youtube.com/watch?v=f3jrMu…

#Kondeboy Harmonize 🐘 ameachia wimbo mpya wa gospel uitwao #yeye.

Wimbo umefanywa kama remix ya wimbo wake wa #furaha

music.youtube.com/watch?v=f3jrMu…
Bongo Tunes (@tunes_bongo) 's Twitter Profile Photo

#Newbanger in town Wimbo mpya wa #jaymelody uitwao #mtoto umeachiwa rasmi kwenye patform zote za mziki. Ni ngoma ya #BongoFlava uanohusu maisha. Kiukweli kazi ni nzuri sana #enjoymusic music.youtube.com/watch?v=ztgX2x…

#Newbanger in town
Wimbo mpya wa #jaymelody uitwao #mtoto umeachiwa rasmi kwenye patform zote za mziki.

Ni ngoma ya #BongoFlava uanohusu maisha. Kiukweli kazi ni nzuri sana
#enjoymusic

music.youtube.com/watch?v=ztgX2x…
Bongo Tunes (@tunes_bongo) 's Twitter Profile Photo

Mtaani kumechangamka Unaambiwa huko nigeria kila kona, kila baa kila kiwanja zinapigwa ngoma za #Jux tu 😂😂 #GodDesign imeendelea kufanya vizuri kwenye itunes za nigeria na sasa hivi inashika namba mbili 🔥 🇳🇬🇹🇿💪🏾

Mtaani kumechangamka
Unaambiwa huko nigeria kila kona, kila baa kila kiwanja zinapigwa ngoma za #Jux tu 😂😂

#GodDesign imeendelea kufanya vizuri kwenye itunes za nigeria na sasa hivi inashika namba mbili 🔥

Bongo Tunes (@tunes_bongo) 's Twitter Profile Photo

Video ya #Dvoice inayoenda kwa jina la MBWA tayari imeshapanda mjini youtube Tokaitazame halafu tuone je yaliyomo yamo???? Dogo anafanya vizuri sio kwenye singeli tu hata kwenye bongoflava ni wa moto balaa🔥🔥🔥 Enjoy good music #BongoFlava YT: youtu.be/CeCA-kiJMFU?si…

Bongo Tunes (@tunes_bongo) 's Twitter Profile Photo

#Appy akiwa na champion #Kontawa mkwajua unaenda kwa jina la MDOGO MDOGO ikiwa ina masaa machache sana tangu imeachiwa. Kama kawaida yetu tuipe support hii ngoma isogee mbele. Tupite YT pale : youtu.be/iLorjfX-yF8?si… Tukaongeze namba kidogo kwa #Appy #BongoFlava

#Appy akiwa na champion #Kontawa mkwajua unaenda kwa jina la MDOGO MDOGO ikiwa ina masaa machache sana tangu imeachiwa. Kama kawaida yetu tuipe support hii ngoma isogee mbele.
Tupite YT pale : youtu.be/iLorjfX-yF8?si…

Tukaongeze namba kidogo kwa #Appy

#BongoFlava
Bongo Tunes (@tunes_bongo) 's Twitter Profile Photo

Anaitwa #Centano anakuja na kibao kinaitwa #UTAWEZA ikiwa ina masaa machache sana YouTube na lengo leo likiwa ni lile lile basi tupite pale mjini YT: youtu.be/ZJy2NyEQO04?si… Tukampe support kijana new comer ila ana spirit kubwa na atafika mbali. Enjoy good music #BongoFlava

Anaitwa #Centano anakuja na kibao kinaitwa #UTAWEZA ikiwa ina masaa machache sana YouTube na lengo leo likiwa ni lile lile basi tupite pale mjini
YT: youtu.be/ZJy2NyEQO04?si…
Tukampe support kijana new comer ila ana spirit kubwa na atafika mbali.
Enjoy good music
#BongoFlava
Bongo Tunes (@tunes_bongo) 's Twitter Profile Photo

#DipperRato akiwa sehem salama kabisa na Dj Davizo, wanakwambia call 911 maanake piga simu police wewe. Ngoma iko YouTube: youtu.be/pt2GPsrsGZ0?si… Utamaduni wetu ni kutoa support basi tukaongeze nguvu pale YouTube. Enjoy good music #BongoFlava

#DipperRato akiwa sehem salama kabisa na Dj Davizo, wanakwambia call 911 maanake piga simu police wewe.
Ngoma iko YouTube: youtu.be/pt2GPsrsGZ0?si…
Utamaduni wetu ni kutoa support basi tukaongeze nguvu pale YouTube.

Enjoy good music
#BongoFlava
Bongo Tunes (@tunes_bongo) 's Twitter Profile Photo

Ni Combo ile ya chaka to Chaka!! #BestNaso akiwa na kijana adimu Mac Voice ngoma inaitwa #Twapendezana Watu mlimmiss sana #Macvoice basi pita YouTube: youtu.be/BOHCERQ6o6Q?si… Ukajione hii combo yao humu ilimaliza mjadala wakuu Support good music #BongoFlava

Ni Combo ile ya chaka to Chaka!!
#BestNaso akiwa na kijana adimu Mac Voice  ngoma inaitwa #Twapendezana
Watu mlimmiss sana #Macvoice basi pita YouTube: youtu.be/BOHCERQ6o6Q?si…
Ukajione hii combo yao humu ilimaliza mjadala wakuu

Support good music
#BongoFlava
Bongo Tunes (@tunes_bongo) 's Twitter Profile Photo

#MapamchBmb amekuja na ngoma yake mpya inayokwemda kwa jila la WAKATI. Ngoma fulani Kali sana, #Mapanch ni miongoni mwa wasanii wakali ila wengi hawajampa sioko. Kama kawaida yetu tukampe support pale YouTube: youtu.be/u6MHrOo8GIw tumpe numbers kijana wetu #BongoFlava #enjoy

#MapamchBmb amekuja na ngoma yake mpya inayokwemda kwa jila la WAKATI. Ngoma fulani Kali sana, #Mapanch ni miongoni mwa wasanii wakali ila wengi hawajampa sioko. Kama kawaida yetu tukampe support pale YouTube: youtu.be/u6MHrOo8GIw tumpe numbers kijana wetu

#BongoFlava #enjoy