#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 12,
Anaendelea Mhe. Lissu
Hakuna aliyesema kuwa nilichapisha video, nilisambaza video. Hakuna aliyesema hayo. Kuna shahidi alieleza nilivyokamatwa
Nilikamtwa kule Ruvuma kwa kupigwa mabomu na sio nguvu kiasi kama mashahidi mapolisi walivyokuw