TownKid (@townkid20) 's Twitter Profile
TownKid

@townkid20

Music๐ŸŽต
Football โšฝ
Sociologist

ID: 1425333876625448961

calendar_today11-08-2021 05:51:45

917 Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Good morning #Tanzania Tuamke na #NoReformsNoElection #NRNE Leo tuhakikishe mtandao wa X pia unarindima na kaulimbiu hii pamoja na VPN na kubaniwa ๐Ÿ˜€๐Ÿ”ฅ Pia tunaweza kuongeza ujumbe wa #FreeTunduLissu na #KatibaMpya

Good morning #Tanzania
Tuamke na #NoReformsNoElection #NRNE 
Leo tuhakikishe mtandao wa X pia unarindima na kaulimbiu hii pamoja na VPN na kubaniwa ๐Ÿ˜€๐Ÿ”ฅ

Pia tunaweza kuongeza ujumbe wa #FreeTunduLissu  na #KatibaMpya
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

NAOMBA REPOST 1K๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

NAOMBA REPOST 1K๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Kila siku nawaambia "USANII NI NGAZI YA KUTENGENEZA MASKINI WENYE MAJINA MAKUBWA". Wasanii, Watu MAARUFU hawa ni VIBAKA ambao wana njaa sana kwenye hili taifa. Na wengi vichwani hamna kitu. Leo makanisa na misikiti inalia UTEKAJI unaoendelea kwenye taifa, hao wasanii sijui

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Tunaanza Maandamano kuelekea Bungeni. Tuma emails:๐Ÿ‘‡ Katibu wa Bunge: [email protected] Spika: [email protected] Waambie tunataka haki ktk chaguzi. Tunataka kuishi salama ktk Taifa letu. #NoReformsNoElection

Tunaanza Maandamano kuelekea Bungeni.

Tuma emails:๐Ÿ‘‡

Katibu wa Bunge: cna@bunge.go.tz

Spika: t.ackson@bunge.go.tz 

Waambie tunataka haki ktk chaguzi.

Tunataka kuishi salama ktk Taifa letu.

#NoReformsNoElection
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

DAKIKA 6 ZA HUYU DADA ZA MOTO SANA. Nchi inaenda kupata UKOMBOZI SOON. REPOST 200. #NoReformsNoElection #TUTAKUWEPO๐Ÿซต๐Ÿ˜Ž

ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Kuna muda namfikiria Father Lissu among matatizo yangu mengine najikuta namuonea huruma kama mwanadamu. Sa nawaza, waliokojuu na wanamchezea hii game wanapata faida gani? Ataishi kwa kupigwa dana dana mpaka lini? Hii CHADEMA ndio inapotea hivi au niaje? Hawa watu wa CHADEMA

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Wanangu wa #NoReformsNoElection kwa UZITO wa press ya Polepoleโ€”Leo LOKOO ya kushtukiza inapigwa muda huu. Naomba niwaone hapo kwenye comments. Nani hayupo? REPOST TUTAKUWEPO๐Ÿซต๐Ÿพ๐Ÿ˜Ž

Wanangu wa #NoReformsNoElection kwa UZITO wa press ya Polepoleโ€”Leo LOKOO ya kushtukiza inapigwa muda huu. 

Naomba niwaone hapo kwenye comments. Nani hayupo?

REPOST

TUTAKUWEPO๐Ÿซต๐Ÿพ๐Ÿ˜Ž
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Message sent! Ukistaafu alafu kila kukicha unaonekana ubavuni wa mwenye ofisi si sawa! Mshauri unashauri nini hadi mikutano unaenda kuwakilisha kimataifa ๐Ÿ™„ Hapa ndo penyewe ๐Ÿ”ฅ asante Kanisa Katoliki๐Ÿ™๐Ÿฝ #NoReformsNoElection #TutaelewanaTu

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Jamaa kagoma kushuriki UCHAFUZI. Anaomba wananchi wasimpigie kura. NOVENA inaendelea kufanya kazi. TUTAKUWEPO๐Ÿซต๐Ÿ˜Ž

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Kwanini EFM wamefuta video hii? Uchambuzi mzuri kama huu kwanini unafutwa? Haya muda wa kuisambaza hii video kwa speed umefika. REPOST 200 TUTAKUWEPO๐Ÿซต๐Ÿ˜Ž