Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile
Togolani Mavura

@tonytogolani

Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake!


To Each, According to Own Gifts, Own Abilities and Own Destiny

ID: 458274726

calendar_today08-01-2012 11:18:55

82,82K Tweet

260,260K Followers

2,2K Following

Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Umewahi kujiuliza kwa nini usipopokea simu au kujibu sms unazoandikiwa kwenye simu yako, watu wanaweza hata kukukaripia wakati simu yako, bundle lako, charger yako na shida ni zao? Jawabu ni kuwa, ukiwa hai, maisha yako ni sehemu tu ya mnyororo wa thamani wa maisha ya wengine.