TIGER (@tiger_jr7) 's Twitter Profile
TIGER

@tiger_jr7

Welcome to my profile 😊 ||

Hustler || Honest boy || Simba SC || Chelsea FC ||

Joshua 1:9 || Jesus Christ my savior ||

ID: 1361940657808543748

calendar_today17-02-2021 07:29:17

1,1K Tweet

2,2K Followers

3,3K Following

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Haiwezekani kocha bora mwezi October alafu November anafukuzwa. Viongozi wetu Issa Mangungu na Salum Try again tunaomba mtupishe tu imetosha sasa. Kindly retweet mpaka iwafikie wahusika

Haiwezekani kocha bora mwezi October alafu November anafukuzwa.

Viongozi wetu Issa Mangungu na Salum Try again tunaomba mtupishe tu imetosha sasa.

Kindly retweet mpaka iwafikie wahusika
RememberTheName (@albogastbm) 's Twitter Profile Photo

Tangu msimu huu wa mashindano 2023/24 uanze hii ndio game ya msimu so far kwenye Ligi tano bora duniani. Bonge moja la mechi. #RememberTheName

Tangu msimu huu wa mashindano 2023/24 uanze hii ndio game ya msimu so far kwenye Ligi tano bora duniani. Bonge moja la mechi. #RememberTheName
Rev. Fr. Petros Mwale (@fr_petros) 's Twitter Profile Photo

Today, I am scheduled to celebrate 4 masses. I have successfully completed the first one and am planning to celebrate the rest in the next 9 hours. I am determined to visit all four places today. Kindly keep me in your prayers.

Today, I am scheduled to celebrate 4 masses. I have successfully completed the first one and am planning to celebrate the rest in the next 9 hours. I am determined to visit all four places today. Kindly keep me in your prayers.
Micky Jnr (@mickyjnr__) 's Twitter Profile Photo

Some few things I heard from the CAF Executive Committee meeting in Abidjan today: β€’ There’s a proposal to increase the AFCON prize money. β€’ Also, the teams that exist the CAF Champions League and Confederation Cup second preliminary stage to receive USD $50,000. β€’ The

Some few things I heard from the CAF Executive Committee meeting in Abidjan today:

β€’ There’s a proposal to increase the AFCON prize money. 

β€’ Also, the teams that exist the CAF Champions League and Confederation Cup second preliminary stage to receive USD $50,000. 

β€’ The
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

NOVENA YA MTAKATIFU RITA WA KASHIA SIKU YA TANO (5) Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu, Amina. Sala ya Kutubu Mungu wangu nimetubu sana, niliyokosa kwako. Kwani ndiwe mwema, ndiwe mwenye kupendeza. Wachukizwa na dhambi, basi sitaki kukosa tena. Nitafanya

NOVENA YA MTAKATIFU RITA WA KASHIA

 SIKU YA TANO (5) 

Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu, Amina.

Sala ya Kutubu
Mungu wangu nimetubu sana,
niliyokosa kwako. Kwani ndiwe
mwema, ndiwe mwenye
kupendeza. Wachukizwa na
dhambi, basi sitaki kukosa
tena. Nitafanya
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

NOVENA KWA MT RITA WA KASHIA SIKU YA 06 Kwa Jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Amina Nafahamu kuwa sababu ya dhambi zangu sala zangu zimefunikwa na wingu zisiweze kufika katika kiti chako cha enzi. Dhambi zangu ni sababu ya adhabu zangu kubwa. Sina ujasiri wa

NOVENA KWA MT RITA WA KASHIA

SIKU YA 06

Kwa Jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Amina

Nafahamu kuwa sababu ya dhambi zangu sala zangu zimefunikwa na wingu zisiweze kufika katika kiti chako cha enzi.

Dhambi zangu ni sababu ya adhabu zangu kubwa. Sina ujasiri wa
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA SIKU YA 07 Kwa jina laBaba, nala Mwana, nala Roho Mtakatifu, Amina. Ee mpedwa Rita, ambaye maisha yako yalikuwa yahuzuni. Nielekezee uso wako wa huruma mimi mwenye maumivu makali. Naomba sala zangu, uchovu wangu na kuchechemea kwangu

NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA

SIKU YA 07

Kwa jina laBaba, nala Mwana, nala Roho Mtakatifu, Amina.

Ee mpedwa Rita, ambaye maisha yako yalikuwa yahuzuni. Nielekezee uso wako wa huruma mimi mwenye maumivu makali. Naomba sala zangu, uchovu wangu na kuchechemea kwangu
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA SIKU YA 08 ✝Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mt. Amina Ewe kielelezo kitakatifu cha Msalaba Mtukufu, ninapokuona ukiwa umesujudu mbele ya miguu mitakatifu ya Bwana, ninapotafakari paji la uso wako lililojeruhiwa kwa mwiba uliotoka

NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA

SIKU YA 08

✝Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mt. Amina

Ewe kielelezo kitakatifu cha Msalaba Mtukufu, ninapokuona ukiwa umesujudu mbele ya miguu mitakatifu ya Bwana, ninapotafakari paji la uso wako lililojeruhiwa kwa mwiba uliotoka