Mbilinyi J (@thisisjo_) 's Twitter Profile
Mbilinyi J

@thisisjo_

Attended Songea Boys Secondary School

ID: 317153650

calendar_today14-06-2011 14:29:19

13,13K Tweet

739 Followers

1,1K Following

TRUST FUND KID (@mentor209) 's Twitter Profile Photo

Naomba tushikamane kwa maombi na mchango kwa ndugu yetu anayepitia kipindi kigumu. Kila ulicho nacho, hata kidogo, kinaweza kuwa tumaini kubwa kwake. πŸ™πŸ€ 0677933081 Yas (AYOUB SIWALE)

Naomba tushikamane kwa maombi na mchango kwa ndugu yetu anayepitia kipindi kigumu. Kila ulicho nacho, hata kidogo, kinaweza kuwa tumaini kubwa kwake. πŸ™πŸ€ 

0677933081 Yas (AYOUB SIWALE)
π™Άπ™°π™±πšˆ π™»π™Ύπš…π™΄πš‚ πšƒπ™΄π™²π™· 6.0 (@gabyconscious) 's Twitter Profile Photo

Mwanangu Given Mkonongo hanaga mambo mengi ananiulizaga tu kaka ninnue simu /laptop Gani? Budget ngapi? Tuma account number Anatuma. Simu yake hiyo pixel nilimnunulia USA mwaka wa nne sasa ametumia haifi. ✊🏾Wanangu wa kidato mpaka mtaani🫡🏾

Mwanangu <a href="/MkonongoGiven/">Given Mkonongo</a>  hanaga mambo mengi ananiulizaga tu kaka ninnue simu /laptop Gani?

Budget ngapi? Tuma account number

Anatuma.

Simu yake hiyo pixel nilimnunulia USA mwaka wa nne sasa ametumia haifi.

✊🏾Wanangu wa kidato mpaka mtaani🫡🏾
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader (@wakazi) 's Twitter Profile Photo

ASANTE KWA KUNISAIDIA… Huo ni upande kwa kwanza wa Technical. ambao ni matumizi ya LITERARY DEVICES. Prof anatumia hivyo vitu ila sio saaaaana, style yake huwa ni STRAIGHT TALK. Akitumia SATIRE ni kama kwenye β€œNdio Mzee” ila sio level ya Satire ya Nash MC ya β€œKaka Suma” au

Jogoo la Shamba Linalowika Mjini (@jmariotz) 's Twitter Profile Photo

Zaidi ya nusu ya G/A za Bruno Fernandes msimu huu ni set pieces ila Nyumbu wanasema anastahili kuwa mchezaji bora wa EPL. Only 36% of Arsenal PL goals this season are coming from set pieces ila wanasema they don’t deserve to be champions. Kwa Nyumbu Pogba was right 100%.πŸ˜†πŸ˜‚

Zaidi ya nusu ya G/A za Bruno Fernandes msimu huu ni set pieces ila Nyumbu wanasema anastahili kuwa mchezaji bora wa EPL.

Only 36% of Arsenal PL goals this season are coming from set pieces ila wanasema they don’t deserve to be champions.

Kwa Nyumbu Pogba was right 100%.πŸ˜†πŸ˜‚