Anthony, AEG (@therealsabai) 's Twitter Profile
Anthony, AEG

@therealsabai

Passionate About #Financial literacy| Leveraging Negotiation Prowess and Problem-solving skills to empower others| Let's navigate the world of finance together.

ID: 1680565168470671360

calendar_today16-07-2023 13:09:46

1,1K Tweet

116 Followers

298 Following

Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

Bao la kwanza lililofungwa na Mohamed Bajaber katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Kahraba Ismailia uliopigwa jana jioni kwenye uwanja wa Suez Canal Authority. Tuliibuka na ushindi wa mabao 2-0. #NguvuMoja

Maviatu ๐Ÿ‘ž๐Ÿ‘Ÿ๐Ÿฅพ๐Ÿ›๏ธ๐Ÿ›’ (@barakamaviatu) 's Twitter Profile Photo

Unahitaji viatu vyenye kuhimili kila hatua na kila hali, kwenye jua na mvua Hapa kuna machaguo manne sahihi! Hivi ni vile viatu vinajua kuvumilia shida ugonjwa na taabu havitakutupa kirahisi lakini hata wewe hutovitupa kirahisi. โ˜Ž๏ธ๐Ÿ“ž๐Ÿ“ฉ0718007463

Unahitaji viatu vyenye kuhimili kila hatua na kila hali, kwenye jua na mvua Hapa kuna machaguo manne sahihi!

Hivi ni vile viatu vinajua kuvumilia shida ugonjwa na taabu havitakutupa kirahisi lakini hata wewe hutovitupa kirahisi.

โ˜Ž๏ธ๐Ÿ“ž๐Ÿ“ฉ0718007463
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Ni siku Tatu zimepita tangu taarifa hii inayomuhusu Mtanzania Harlequin Mlay, Mtanzania aliyekwama Kenya ichapishwe katika mitandao ya MillardAyo kwa lengo la kuwaomba Watanzania kutoa Msaada wa kumchangia Mtanzania huyo aliyekwama nchini Kenya kwa Matibabu na kudaiwa zaid

Ni siku Tatu zimepita tangu taarifa hii inayomuhusu Mtanzania Harlequin Mlay, Mtanzania aliyekwama Kenya ichapishwe katika mitandao ya MillardAyo kwa lengo la kuwaomba Watanzania kutoa Msaada wa kumchangia Mtanzania huyo aliyekwama nchini Kenya kwa Matibabu na kudaiwa zaid
The Citizen Tanzania (@thecitizentz) 's Twitter Profile Photo

American Frank Caprio, a retired municipal judge in Rhode Island who gained online fame as a compassionate jurist and host of Caught in Providence, has died aged 88. According to a statement released on his official social media accounts on Wednesday, he โ€œpassed away peacefullyโ€

American Frank Caprio, a retired municipal judge in Rhode Island who gained online fame as a compassionate jurist and host of Caught in Providence, has died aged 88.

According to a statement released on his official social media accounts on Wednesday, he โ€œpassed away peacefullyโ€