therealestro_ (@therealestro_) 's Twitter Profile
therealestro_

@therealestro_

| πŸ“Έ | being HUMAN | #awiseantinaclock🐜

ID: 1298126755622985729

calendar_today25-08-2020 05:15:29

4,4K Tweet

545 Followers

823 Following

SM (@samsonmbembela) 's Twitter Profile Photo

Wengi wanafikili Kwamba Digital Marketing ni Ads Pekee Kuna Kitu Kinaitwa SEO yaani Search Engine Optimaization. Ndani ya SEO kuna Kitu Kinaitwa Local SEO, Hapa Kwenye Local SEO wengi wanaifahamu njia moja ya Kuunda Business Profile Kwenye Google. Hapo Kuna Tools zingine

JAX (@joshuamsuya_) 's Twitter Profile Photo

Kutumia AI kutengeneza logo ni shortcut ambayo itakucost biashara yako sana. Umetengeneza logo ya AI ambayo inafanana na buashara kama 10 iv kasoro jina tu… Unajitofautisha vp sokoni? Hio ni logo au picha? Ukitaka kuprint inakuaje? Unamlipa tena designer aweke sawa?

KAPETOπŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@kapeto98) 's Twitter Profile Photo

Sehemu Tano ambazo Pesa Imejificha Muda wote.. 1. Watu 2. Huduma au Bidhaa 3. Matatizo 4. Ujuzi 5. Idea / Mawazo. Kama hupati pesa kwa Kupitia hizi Njia Kuna hatari ya Kuwa Maskini.

Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

FUMBO LILILOKOSA UFUMBUZI Tarehe 21 Septemba 2018, Mtangazaji Jackie Maribe aliingia kwenye studio za Citizen TV kama kawaida yake. Tayari amefanya makeup Script imeshaandaliwa Habari za mchana zikimsubiri azisome Kuna kitu kimoja mtangazi huyu hakukijua!

FUMBO LILILOKOSA UFUMBUZI

Tarehe 21 Septemba 2018, Mtangazaji Jackie Maribe aliingia kwenye studio za Citizen TV kama kawaida yake.

Tayari amefanya makeup

Script imeshaandaliwa

Habari za mchana zikimsubiri azisome

Kuna kitu kimoja mtangazi huyu hakukijua!