Thadeo Ze King 👊🇹🇿 (@th67130thadeo) 's Twitter Profile
Thadeo Ze King 👊🇹🇿

@th67130thadeo

I am a Winner...., Stop living like a clown..Never Give up...✊️,Trust no one.# I Like Music for Life...🎧🎶🎶

ID: 1810040309679833088

calendar_today07-07-2024 19:57:29

19,19K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

𝗪𝗮𝗺𝗰𝗵𝗼𝗻𝗴𝗼 (@goldenmvrs) 's Twitter Profile Photo

Dear Women Ndoa Sio Mafanikio Kuna Wengi Wanakonda Maana Ndoa Zao Sio Ndoa Ni Mwiba Usijivune Ukiipata Niamini Unaweza Kukamilika Bila Mume

AM💡 (@tonnyunfiltered) 's Twitter Profile Photo

Tunapitia hatua 3: 1. Kudharauliwa 2. Kupingwa 3. Kukubalika Wapumbavu huishia hatua ya kwanza, Waliokata tamaa huishia ya pili, Washindi hufika hadi ya tatu.📌

Mchachu, PhD🐐 (@mchachu_) 's Twitter Profile Photo

Fungua min supermarket sehem yenye watu wengi. Changanya humo na 1. Vinywaji, Soda, Maji na Juice 2. Uwakala Mitandao ya simu na bank Kodi ya pango utaamua iwe inalipwa na 1 au 2 hapo juu. Kilichobaki ni faida yako..📍🤞🏿

Miss Chelsea1221 (@misschelsea1221) 's Twitter Profile Photo

Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍 👉Size S_______2XL 👉Bei jezi ya zamani(Vintage) 35,000/= Wa.me/+255623346245 Au 0714336827 👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA

Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍

👉Size S_______2XL
👉Bei jezi ya zamani(Vintage)  35,000/=

Wa.me/+255623346245
Au 0714336827

👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
Mkushi (@mkushiiii) 's Twitter Profile Photo

Wakati ukiwa High School ulisema ukifika 30+ utakuwa na kazi yako nzuri pamoja na gari na utakuwa umeanza ujenzi wa nyumba yako, Nakusalim sana CEO✋🏽😂

Masterplan🇹🇿 (@master_plan7) 's Twitter Profile Photo

Kule IG Kuna Jamaa Anasimulia Analia Alikutana na Dada Single Mother Akaamua Amuonee Huruma Amuoe Baadaye Anatoka Kwenye Mishemishe Anarudi Anamkuta Mchizi Aliyezaa na yule Dada Ndani Kwake, Kuweni Makini na Single Mother wengi Wanakuwa bado Hawajamalizana na Wenza wao.

Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Napenda ninachokiona kwa Ndugu wasanii, Ama kwa hakika kasi ya Mapambano katika sanaa imeimarika kwa kila Mmoja. Kwa MARIOO pia hasira zinaonekana, Ngoma ni Back2Back🔥 Ile "Deluxe ya TheGodSon" inaendelea kutolewa kwa Track moja moja. DUNIA hii hapa Wakuu, FRIDAY tupo nayo🙌🏽

Napenda ninachokiona kwa Ndugu wasanii, Ama kwa hakika kasi ya Mapambano katika sanaa imeimarika kwa kila Mmoja.

Kwa MARIOO pia hasira zinaonekana, Ngoma ni Back2Back🔥

Ile "Deluxe ya TheGodSon" inaendelea kutolewa kwa Track moja moja.

DUNIA hii hapa Wakuu, FRIDAY tupo nayo🙌🏽