team lowassa (@teamlowassa) 's Twitter Profile
team lowassa

@teamlowassa

ID: 747128797

calendar_today09-08-2012 12:18:43

1,1K Tweet

1,1K Followers

141 Following

Comrade Truman (@kakuruf) 's Twitter Profile Photo

Narudia, TOTccm mtendelea kushindwa zaidi maana anayewaongoza humu alifaulu kwa kuiba mitihani hana uelewa mpana yeye ni twende tu..M4C!!

Angry Citizen (@hamiskittumma) 's Twitter Profile Photo

Nlitegemea CCM waje na Ilani / Sera kwamba kwa miaka 50+ ya Utawala tumetenda haya na haya lakini sio kuahidi maji safi,zahanati na barabara

REGINA LOWASSA (@reginalowassatz) 's Twitter Profile Photo

Nimesikitishwa sana na taarifa za kupotelewa na Dada Celina Kombani. Natoa pole zangu kwa ndugu na familia. Mungu atupe nguvu na faraja RIP

Mjasiria Habari (@mjasiriahabari) 's Twitter Profile Photo

Huu ndio mtazamo chanya ambao tabaka la watawala hawataki kuona kwa makusudi au wamekuwa vipofu kwa kulewa madaraka! fb.me/2l8YmS4ai

Mjasiria Habari (@mjasiriahabari) 's Twitter Profile Photo

Watanzania hawana Chuki na CCM wala mgombea wake #Magufuli, Wtznia wanataka mfumo mpya Wa uongozi Wa nchi yao,... fb.me/4cgxi8pwM

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

MWANZA: Watu wasiojulikana wavamia msikiti wa Ramadhani, Mkolani na kuua watu 3, kujeruhi mmoja kuamkia leo #JFLeo bit.ly/MauajiMwz

Franklin Tissa (@franklin_tissa) 's Twitter Profile Photo

Tumefikia Mahala Tanzania 🇹🇿Kamanda Wa Polisi anatangaza Mapato utafikiri ni Msaidizi Wa TRA😂 Hivi kazi ya Polisi ni kusaidia au kukomoa??

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Hii unatokea Tanzania pekee, unalipa ushuru Jiji la Dar es Salaam lakini mkusanyaji ni Kenya Airport. Tanzania nzima hakuna mwenye uwezo

Hii unatokea Tanzania pekee, unalipa ushuru Jiji la Dar es Salaam lakini mkusanyaji ni Kenya Airport. Tanzania nzima hakuna mwenye uwezo
Kitila Mkumbo (PhD) (@kitilam) 's Twitter Profile Photo

Nadhani utafiti wa maana ni kujaribu kujua huyu anayeongea haya ilikuwa akafika hapo alipo! Damu ya mnyama? x.com/albertmsando/s…

Halima James Mdee (@halimamdee) 's Twitter Profile Photo

Juzi nilisema kwamba Mkalimani alitolewa kwa makusudi ili wazungu wasisikie uongo TULIOKUWA tunalishwa!VIDEO 👇🏿.. instagram.com/p/Bahrpz_FRWg/

Halima James Mdee (@halimamdee) 's Twitter Profile Photo

Tunaipenda Nchi yetu SANA! Tunataka RASILIMALI zetu zinufaishe NCHI!!LAKINI HATUPENDI Watanzania wafanywe WAJINGA, kwa siasa UCHWARA!

Mchokozi !! (@olemtetezi) 's Twitter Profile Photo

Rais Magufuli Anaposema Watu Wa Mwanza Waliojenga Karibu Na Uwanja Wa Ndege Wasibomolewe Hadi Watakapo Lipwa Fidia Kwasababu Hao Ndio Wapiga Kura Wake, Inamaana Watu Wa Kimara Walibomolewa Bila Kulipwa Fidia Kwasababu Sio Wapiga Kura Wake?