Tazama (@tazamambali) 's Twitter Profile
Tazama

@tazamambali

Mjasiriamali |
Mme |
Baba |
Fikra huru |
Chelsea |

ID: 1778088961967038464

calendar_today10-04-2024 15:54:00

27,27K Tweet

5,5K Followers

4,4K Following

Tazama (@tazamambali) 's Twitter Profile Photo

Soko lina ushindani, lkn kila mtu ana nafasi yake. Usiogope kuona watu wengi wanafanya biashara kama yako. Wateja ni tofauti: wengine wanataka bei nafuu, wengne ubora, wengne huduma ya haraka 1. Elewa wateja wako 2. Jitofautishe 3. Jitangaze 4. Boresha huduma 5. Jenga mahusiano

Tazama (@tazamambali) 's Twitter Profile Photo

Ukiingia sokoni bila kujitofautisha, ni sawa na timu kuvaa jezi za timu pinzani. Wateja hawatakutambua, na hata wakikuona, hawataona sababu ya kukuchagua wewe badala ya wengine. Jitofautishe kwa huduma, bidhaa au namna unavyowasiliana na wateja. Tafuta competitive advantage

Tazama (@tazamambali) 's Twitter Profile Photo

Ukitoa huduma bora utaonekana. Ukihuduma kwa moyo utawagusa wateja. Bei rafiki zitawavutia wateja. Lkn kinachojenga nguvu ya biashara yako ni utofauti wa thamani unayoleta. Ukiitoa kwa consistency, utafika hatua wateja wanakutafuta wewe, siyo wewe kuwatafuta wao. Uza utofauti

Tazama (@tazamambali) 's Twitter Profile Photo

Tofauti yako ndiyo sababu wateja kukuchagua wewe badala ya washindani wako. Lakini siyo tofauti tu, ni tofauti yenye thamani na inayotolewa kwa consistency. Ukitoa thamani hiyo kila siku, haitakuwa lazima uwatafute wateja, wateja ndio watakutafuta.

Tazama (@tazamambali) 's Twitter Profile Photo

Wateja wanasukumwa na thamani inayotolewa ili waweze kununua sehemu fulani. Kama huna thamani unayotoa, huna mvuto wa kibiashara.

ZIP🇹🇿 (@zipdmpjr22) 's Twitter Profile Photo

Kaaaa ukijua 😅 5+5 = 10 ✅ 7+3 =10✅ 9+1 =10✅ 8+2 =10✅ 10 + 0 = ni 10 Nikikwmba Kila Mtu atafanikiwa💪Kuifikia Kumi katika Hali na Njia Yake Atakayoiamua 🤫 Usikate Tamaa

Tazama (@tazamambali) 's Twitter Profile Photo

Nitatumia biashara ya mchele kama mfano. Thamani: Unatafuta mchele mzuri wenye radha unaupaki kg 25. Unauchambua na kuondoa mawe na uchafu ili uwe tofauti. Consistency: Unatoa thamani ile ile bila kupunguza kiwango kila wakati. Mteja anaupata mchele ktk kiwango bora.

njoroboihastlar🏌️‍♀️ (@kimolorama8) 's Twitter Profile Photo

Tazama Shukranii sana kaka umefanya kazi iliyo tukuka kunipa utofautii wa haya maneno THAMANI & CONSISTENCY nimepata maana mbili Tofautii hapa nitayachukua kaka yalivyo na kuyaweka kwenye biashara yangu!!!📝📝

Learners Bookshop (@vitabu247) 's Twitter Profile Photo

Nitumie huu muda kuwashukuru wote mliofanya kazi nasi, mlioshare kwa wahitaji wa vitabu, mmerepost, mlionitaja huko nje vitabu vilipohitajika, niwashukuru bodaboda( bolt), wasafirishaji wa mikoani narudia tena nishukuru jumuiya hii ya X) kwa kuwa wateja wangu bora 2025.

Nitumie  huu muda kuwashukuru wote mliofanya kazi nasi, mlioshare kwa wahitaji wa vitabu, mmerepost, mlionitaja huko nje vitabu vilipohitajika, niwashukuru bodaboda( bolt),  wasafirishaji wa mikoani narudia tena nishukuru jumuiya hii ya X) kwa kuwa wateja wangu bora 2025.
THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

JIKITE KWENYE UMILIKI NA SIO KIPATO. Hakuna tajiri anaefikiria kuongezewa mshahara ama posho, wanajikita kwenye kuongeza umiliki kama •Hisa •Aridhi •Majengo •Biashara •Hatifungani Maana umiliki ndio utengeneza UTAJIRI wa kweli. Jiuze, Una miliki nini..?

Tazama (@tazamambali) 's Twitter Profile Photo

Tunakuwa waoga na AI badala ya kujifunza kuishi nazo. Hakuna tech yenye uwezo wa kureplace binadamu na ubinadamu Jiulize mfano mdogo; Tractor iligunduliwa mwaka 1890 huko, hivi imeweza kureplace watu wanaolima? Na hata ikitumika, bado watu kibao wanahitajika shambani

Tazama (@tazamambali) 's Twitter Profile Photo

Translate mambo ktk uhalisi ndg. Tuache mambo ya kwenye movies na vitabu yasiyoreflect uhalisia wa mazingira yetu. Mpaka leo cashless system ni ngumu. Regulations kibao kwa fintech, kutuma/kutoa pesa makato juu, kulipia bidhaa mtandaoni ni shida, sembuse haya mambo makubwa!