Tanzania Road Roamers (@tanroas) 's Twitter Profile
Tanzania Road Roamers

@tanroas

ID: 1726991940753707008

calendar_today21-11-2023 15:52:36

29 Tweet

29 Followers

30 Following

Kirigiti (@kirigitim) 's Twitter Profile Photo

Bukoba wanapelekewa EBR, Mbeya x Tunduma DXE, ECR, EDR. Mwanza zimerudishwa EKE😁. Mwanza ni kugumu wajomba. Kufukuza HP 400 si mchezo. Muombeeni. Huu mwaka utakuwa mgumu sana.

Sisi tunasimama na mwanetu Sir. Machage. Haijaisha bado mpaka iishe. Mwanetu yupo zake Mbeya - Mwanza anakula maisha. Soon tunamleta Mwanza - Dar. Narudia haijaisha.

Kwahiyo wanetu zimebakia ngapi? Maana EBF zimeua EBR zote. Hizi EKE tumezikabidhi Cape Town green 🐍 ya kwa Madiba. Namba ya bahati ni #T116ELV. Tuzipe mwezi mmoja pekee unatosha maji kujitenga na mafuta.

Kwahiyo wanetu zimebakia ngapi? Maana EBF zimeua EBR zote. Hizi EKE tumezikabidhi Cape Town green 🐍 ya kwa Madiba. Namba ya bahati ni #T116ELV.

Tuzipe mwezi mmoja pekee unatosha maji kujitenga na mafuta.
Kirigiti (@kirigitim) 's Twitter Profile Photo

Hizi nyingine jioni ya leo hapo Nyegezi Mwanza. ✔️ Hazina mikopo ✔️ Hazina rejesho ✔️ Hazijawahi kuguswa injini ✔️ Hazijawahi kuguswa gia boksi ✔️ Zimepumzika hadharani ✔️ G7 killers🤪

Hizi nyingine jioni ya leo hapo Nyegezi Mwanza.

✔️ Hazina mikopo
✔️ Hazina rejesho
✔️ Hazijawahi kuguswa injini
✔️ Hazijawahi kuguswa gia boksi
✔️ Zimepumzika hadharani
✔️ G7 killers🤪
Tanzania Road Roamers (@tanroas) 's Twitter Profile Photo

Hii kazi ya kufukuza Dragon iliwashinda Wakurugenzi wengi sana. Ila kuna Wakurugenzi bado wanakomaa kujaribu. Si mbaya, ila wakimaliza wakachukue madesa kwa Zuberi & Kisesa.

Hii kazi ya kufukuza Dragon iliwashinda Wakurugenzi wengi sana. Ila kuna Wakurugenzi bado wanakomaa kujaribu. Si mbaya, ila wakimaliza wakachukue madesa kwa Zuberi & Kisesa.
Kirigiti (@kirigitim) 's Twitter Profile Photo

Nani aliwahi kusafiri na hii Bunda Bus? Mkurugenzi alikuwa smart sana halafu mbele ya muds mno. Imagine hii miaka ya 1925 lakini chuma liko smart namna hiyoo. ✔️ Wheelcap ✔️ Bullbar ✔️ Fog lights ✔️ Graphics ✔️ Pazia😁 ✔️ Head lights #InGodWeTrust

Nani aliwahi kusafiri na hii Bunda Bus? Mkurugenzi alikuwa smart sana halafu mbele ya muds mno. Imagine hii miaka ya 1925 lakini chuma liko smart namna hiyoo.

✔️ Wheelcap
✔️ Bullbar
✔️ Fog lights
✔️ Graphics 
✔️ Pazia😁
✔️ Head lights

#InGodWeTrust
Kirigiti (@kirigitim) 's Twitter Profile Photo

Marcopolo G7 pekee Tanzania zilizokataa kuzeeka. DHY mpya kushinda EKE. Hii mkiniambia tupa geuka bila sevisi mkataba miaka buku, ninaweza kuwaelewa wajomba zangu. Lakini zle EBR hapana bwana michezo.

Vunja bei yupo kampuni gani sasa hivi? Huyu mwamba aliwahi itoa DXS Magufuli Bus Terminal saa kumi na mbili kamili asubuhi akaifikisha Nyegezi saa moja na dakika arobaini na tano usiku. Siku hiyo ziliongozana na DRG la petroli ila la petroli ililiwa. Popote alipo aheshimiwe.

Vunja bei yupo kampuni gani sasa hivi? Huyu mwamba aliwahi itoa DXS Magufuli Bus Terminal saa kumi na mbili kamili asubuhi akaifikisha Nyegezi saa moja na dakika arobaini na tano usiku. Siku hiyo ziliongozana na DRG la petroli ila la petroli ililiwa.

Popote alipo aheshimiwe.
Kirigiti (@kirigitim) 's Twitter Profile Photo

Tuelewane kitu kimoja. Kuwa mnazi wa Star si dhambi. Ninaelewa wanazi wa AVA wote mlikuwa Wanazi wa Star. Mnamchukia Star sababau kila siku anawapa somo namnaya kufanya biashara na mnatamani adondoke jambo ambalo limegoma anaishia kuwadondosha ninyi. Unganeni kuongeza nguvu.

Tuelewane kitu kimoja. Kuwa mnazi wa Star si dhambi. Ninaelewa wanazi wa AVA wote mlikuwa Wanazi wa Star. Mnamchukia Star sababau kila siku anawapa somo namnaya kufanya biashara na mnatamani adondoke jambo ambalo limegoma anaishia kuwadondosha ninyi.

Unganeni kuongeza nguvu.