SonyJack (@sonyjacky_) 's Twitter Profile
SonyJack

@sonyjacky_

Welcome to Sony Jack official twitter profile

ID: 2905231486

linkhttp://instagram.com/Sonyjacky_ calendar_today04-12-2014 15:38:49

7,7K Tweet

21,21K Followers

1,1K Following

KIKO (@kikovikojunior_) 's Twitter Profile Photo

"Idi Amin na Israel: Kutoka Marafiki hadi Maadui Wakubwa" (Operesheni Thunderbolt au Operesheni Entebbe) Operesheni Thunderbolt, au Operesheni Entebbe, ni mojawapo ya operesheni maarufu za uokoaji za kijeshi katika historia. A thread 🧡 (Uzi) Shuka NaoπŸ‘‡

SonyJack (@sonyjacky_) 's Twitter Profile Photo

Akili za wenye Bucha bhana wanazijua wenyewe. Mfupa alioukata yeye kwa shoka anataka mimi nikautafune kwa meno πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

SonyJack (@sonyjacky_) 's Twitter Profile Photo

Kwenye interview waliuliza: 'Una swali?' Nikauliza: 'Lini mshahara unaingia?' Wakanishika mkono wakasema: 'Tutawasiliana'.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚