SINGIDA BLACK STARS SC (@singidabssc) 's Twitter Profile
SINGIDA BLACK STARS SC

@singidabssc

Ukurasa huu Sio Rasmi wa Klabu ni wa Shabiki damu damu wa Singida Black stars.

ID: 1418928393115078656

calendar_today24-07-2021 13:37:58

2,2K Tweet

145,145K Followers

71 Following

SINGIDA BLACK STARS SC (@singidabssc) 's Twitter Profile Photo

Tuchague Viongozi wapenda haki. Tuchague Viongozi Walio Tayari kukosolewa. Tuchague Viongozi wasiopenda machawa. Tuchague Viongozi wapenda Maendeleo. Tuchague Viongozi ambao wataenda kwa maslai ya nchi na sio kwenda kutetea Chama.

Tuchague Viongozi wapenda haki.
Tuchague Viongozi Walio  Tayari kukosolewa.
 Tuchague Viongozi wasiopenda machawa.
Tuchague Viongozi wapenda Maendeleo.
Tuchague Viongozi ambao wataenda kwa maslai ya  nchi na sio kwenda kutetea Chama.
SINGIDA BLACK STARS SC (@singidabssc) 's Twitter Profile Photo

Kwa hiyo Sasa Hivi Wachambuzi wanalazimisha Mchezaji Kuuzwa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwa hiyo Sasa Hivi Wachambuzi wanalazimisha Mchezaji Kuuzwa.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
SINGIDA BLACK STARS SC (@singidabssc) 's Twitter Profile Photo

Yaani Mashabiki wa Yanga Mnalipia pesa za Tofari za Ubingwa Viongozi wenu wanapeleka Milioni 100 CCM. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yaani  Mashabiki wa Yanga Mnalipia pesa za Tofari za Ubingwa Viongozi wenu wanapeleka Milioni 100 CCM.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
SINGIDA BLACK STARS SC (@singidabssc) 's Twitter Profile Photo

ADMIN WA UTOPOLO LEO ANA KAZI YA KUFUTA COMENTS ZA WATU TU. YAANI RAIS WAO SIFA ZIMEMDHIDI NADHANI AMEONA KUWA MASHABIKI HAWATAKI MAMBO YA SIASA KWENYE TIMU YAO KASOMENI COMENTS KWENYE POST MPYA KULE INSTA. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ADMIN WA UTOPOLO LEO ANA KAZI YA KUFUTA COMENTS ZA WATU TU.

YAANI RAIS WAO SIFA ZIMEMDHIDI NADHANI AMEONA KUWA MASHABIKI HAWATAKI MAMBO YA SIASA KWENYE TIMU YAO KASOMENI COMENTS KWENYE POST MPYA KULE INSTA.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
SINGIDA BLACK STARS SC (@singidabssc) 's Twitter Profile Photo

Si umesikia? Wamepokea Barua kutoka FIFA Inaitajika Viongozi wao 7 kujiuzuru. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Si umesikia? Wamepokea Barua kutoka FIFA  Inaitajika Viongozi wao 7 kujiuzuru.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Chicharito JR Presenter (@chicharitojr9) 's Twitter Profile Photo

KWA YANGA HII SIMBA WASHINDWE WAO KUBEBA UBINGWA MSIMU UJAO. Yanga ya Msimu huu ni mbovu kama Simba watashindwa Kubeba Ubingwa basi wasubiri Miaka 20 ijao.

KWA YANGA HII SIMBA WASHINDWE WAO KUBEBA UBINGWA MSIMU UJAO.

Yanga ya Msimu huu ni mbovu kama Simba watashindwa Kubeba Ubingwa basi wasubiri Miaka 20 ijao.
SINGIDA BLACK STARS SC (@singidabssc) 's Twitter Profile Photo

Huyu Upara anatoa Kerkez anatoa na Frimpong acha wamsemenyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huyu Upara anatoa Kerkez anatoa na Frimpong acha wamsemenyo

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
SINGIDA BLACK STARS SC (@singidabssc) 's Twitter Profile Photo

Ni Msimu Mpya Lakini Man U bado wapo nafasi ile ile ya 15. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ni Msimu Mpya Lakini   Man U bado wapo nafasi ile ile ya 15.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
SINGIDA BLACK STARS SC (@singidabssc) 's Twitter Profile Photo

Pole kaka ndio umeweka Atletico Madrid double Chance. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Pole kaka ndio umeweka Atletico Madrid double Chance.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
SINGIDA BLACK STARS SC (@singidabssc) 's Twitter Profile Photo

Hii Ni Meme au Millard Ayo amepost Serious. Kuhusu hio Bei? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hii Ni Meme au Millard Ayo amepost Serious.
Kuhusu hio Bei?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚