SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile
SATIVA17

@sativa255

Survivor of Head Bullet 27.06.2024. / Human rights defender. / PYALA PYALA.

ID: 1112374612548075523

calendar_today31-03-2019 15:22:29

194,194K Tweet

121,121K Followers

4,4K Following

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

“Goli la mama milioni kumi” wanatembea na MABEGI ya hela. Hata yafungwe magoli 10 pesa CASH ipo. Kwenye MAJANGA watu wanabebwa kwenye kirikuu, michango kwa wahanga wanasubiri GO AHED kwa raisi. TAIFA LA MATAPELI.

“Goli la mama milioni kumi” wanatembea na MABEGI ya hela. Hata yafungwe magoli 10 pesa CASH ipo.

Kwenye MAJANGA watu wanabebwa kwenye kirikuu, michango kwa wahanga wanasubiri GO AHED kwa raisi. TAIFA LA MATAPELI.