Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM ya mwaka 2025-2030 Sura ya pili ukurasa wa 36 inaelekeza kuanzishwa kwa Shule za akademia za michezo
Ilani inataka Kuanzisha shule za akademia za michezo kwa lengo la kuandaa wanamichezo wa leo na baadaye ikiwa ni njia mojawapo kukuza
Wananchi sasa watapata usafiri Salama kupitia mradi wa ukarabati wa vivuko kwa mwaka 2025/26 ambapo shilingi bilioni 11.59 zimetengwa kwa ukarabati wa vivuko vifuatavyo.
MV Mara, MV Ujenzi, MV Kome II, MV Misungwi, MV Nyerere, MV Kyanyabasa, MV Kitunda, MV Lindi, MV Kazi, MV
Kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2025-2030 Sura ya pili ukurasa wa 32 inasema Tanzania itakuwa kitovu cha Biashara Mtandaoni.
Tanzania itakuwa kitovu cha Biashara Mtandaoni kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika kupitia Shirika la Posta Tanzania.
Kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2025-2030 Sura ya pili ukurasa wa 32 inasema CCM itaanzisha Kituo cha Taifa cha Usalama Mtandao kwa ajili ya ulinzi wa miundombinu ya TEHAMA na kuimarisha matumizi salama ya teknolojia ya kidijitali.
Katika kipindi cha mwaka 2024/2025, Chini ya usimamizi wa Kampuni ya Ranchi za Taifa NARCO, mapato yameongezeka katika Machinjio ya Dodoma kutoka shilingi milioni 637 hadi kufikia milioni 821.4 katika kipindi cha miezi tisa (9)
Pato la Taifa linataraji kufikia Dola za Marekani Trilioni 1.
Aidha pato la mtu mmoja mmoja kufikia shilingi Milioni 1.5 kwa mwezi.
Lengo hili ni sehemu ya mwelekeo mpya wa taifa kuelekea uchumi wa kati wa juu unaotegemea matumizi bora ya rasilimali, teknolojia ya kisasa na
Wahitimu 700 wa Kidato cha Sita kunufaika na ufadhili katika fani za Sayansi ya Data, Akili Unde (AI) na Sayansi Shirikishi.
Aidha wanafunzi 50 bora watashiriki kambi ya kitaifa ya miezi 10 NM-AIST, Arusha, kabla ya kupelekwa nje ya nchi.
650 Wengine watasoma katika taasisi
TANZANIA YAONGOZA KWA AMANI AFRIKA MASHARIKI.
Amani ni jambo la kwanza linalozingatiwa kwenye nchi yeyote ile pindi watu wanapotaka kuitembelea nchi hiyo, wanapotaka kuwekeza lakini pia hata wananchi wa taifa husika kufanya mambo yao kwa uhuru basi huzingatia amani ya nchi yao
Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya mwaka 2025-2030, Sura ya pili ukurasa wa 36 inasema kujenga maktaba ya kisasa ya kitaifa ya muziki na filamu (National Music and Film Dijital Library) ikiwa ni hatua mojawapo ya kukuza na kuendeleza sanaa nchini.
Sekta ya Uvuvi Yaongeza Mapato Kupitia Uingizaji wa Samaki Nchini
Mwaka 2024/25 jumla ya tani 89.78 za samaki, zenye thamani ya shilingi milioni 514 zimeingizwa nchini na kuliingizia Taifa mrahaba wa shilingi milioni 164. 3.
Ikilinganishwa na tani 12.90 za samaki, zenye thamani
Shamimu Masoud mkazi wa Kibaha Maili moja anasema Rais Samia amewaheshimisha sana wanawake wa nchi hii, na atakayemsema vibaya Rais wake basi wanawake wa Kibaha ndio watasema naye.
Kibaha ni ya Samia.
Emmanuel Mhagama ni moja ya watanzania wanaoridhishwa na utendaji wa Rais Samia Suluhu Hassan kwenye utekelezaji wa miradi.
Anasema inabidi Rais Samia apewe miaka mingine kwaajili ya kumalizia alipoishia.
Uuzaji wa bidhaa nje umeongezeka kutoka USD milioni 7,758.7 (Mei 2024) hadi USD milioni 9,894.8. (Mei 2025)
Ukuaji huu umechangiwa zaidi na ongezeko la mauzo ya dhahabu, korosho, kahawa, tumbaku, sisal, na mazao ya bustani.
TANZANIA KUWEKEZA TZS TRIL. 1.48 KATIKA NISHATI YA JOTOARDHI
Miradi Mikuu: Ngozi Crater (70MW) na Kiejo-Mbaka (60MW) – jumla 130MW ifikapo 2030
Inatekelezwa na TGDC (chini ya TANESCO)
Mafanikio ya awali: Uchimbaji wa visima 3 vya jotoardhi umeshaanza
Uchangiaji: Kuimarisha umeme
Wananchi Kupata Huduma Bora za Usafiri wa Majini Kupitia Vivuko na Boti Mpya
Mradi wa Ujenzi wa Vivuko Vipya – 2025/26
Tsh bilioni 9.69 zimetengwa kwa:
Ununuzi wa vivuko vipya kwa ajili ya:
• Kisorya – Rugezi
• Ijinga – Kahangala
• Bwiro – Bukondo
• Nyakarilo – Kome
•
Ujenzi wa Barabara Kuu kwa Maendeleo Endelevu
Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mwaka 2025/26 imepanga kutekeleza miradi ya barabara kuu
✅ Kujenga barabara kuu – km 365 (lami)
✅ Kukarabati barabara – km 45 (lami)
✅ Kujenga madaraja 19, kukarabati 1
✅
RUZUKU YA MITUNGI YA GESI – SERIKALI YA AWAMU YA SITA
Serikali ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan yatolewa ruzuku ya 50% kwa mitungi ya gesi ya kupikia
Mitungi 452,000 imeanza kusambazwa nchi nzima – zoezi linaendelea
Hii ni kuendeleza jitihada za awali za mitungi 110,000
Mauzo ya dhahabu yameongezeka kutoka USD milioni 3,115.4 (Mei 2024)hadi USD milioni 3,835.5 (Mei 2025)
Yakichagizwa na bei nzuri za kimataifa pamoja na ongezeko la ununuzi kutoka benki kuu kutokana na hali ya kutokuwa na uhakika kiuchumi.
Ripoti ya mapitio ya uchumi ya juni
Ujenzi wa studio ya kisasa ya uzalishaji wa filamu
CCM tajenga Kujenga studio ya uzalishaji wa filamu yenye teknolojia na vifaa vya kisasa vya uzalishaji wa filamu ikiwa ni hatua mojawapo katika kukuza na kuendeleza sanaa nchini.