Salim Abdallah (@salim_tryagain) 's Twitter Profile
Salim Abdallah

@salim_tryagain

▪️Board Chairman - @simbasctanzania

ID: 1472156562919673860

calendar_today18-12-2021 10:47:56

391 Tweet

142,142K Followers

7 Following

Salim Abdallah (@salim_tryagain) 's Twitter Profile Photo

Huu ni utangulizi wa kazi ya Jumamosi. Mchezo huo ni muhimu zaidi kwa sasa kuliko jambo lolote. Tunajiandaa kwa kila namna ili kushinda.

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania, Mwenyezi Mungu ibariki Simba Sports Club na Insh’Allah leo ikawe siku ya furaha kwa Wanasimba na Watanzania kwa ujumla.

Salim Abdallah (@salim_tryagain) 's Twitter Profile Photo

Hongera sana kaka yangu Wallace Karia, Rais wa TFF na CECAFA kwa kuchakuliwa kuwa EXCOM (Kamati ya Utendaji) ya CAF. Ushindi wako ni ushindi wa Tanzania na hii inaonyesha kwa namna gani mpira wetu unazidi kukua. Nakupongeza sana.

Nikimpongeza ndugu Souleiman Hassan Waberi ambaye ni Makamu wa Tatu wa Rais wa CAF na Rais wa Shirikisho la Mpira la Djibouti baada ya kuchaguliwa kuwa Mwakilishi wa CAF kwenye Baraza la FIFA (FIFA Council).

Nikiagana na Rais wa FIFA, Gianni Infantino baada ya mazungumzo mafupi katika hoteli ya Marriott iliyopo Giza karibu na zilipo pyramid. Tuko hapa Cairo, Misri kushiriki Mkutano Mkuu wa 14 wa CAF (The CAF 14th Extraordinary General Assembly).

Insha’Allah huu utakuwa mwaka wetu wa mafanikio makubwa barani Afrika. Tuna kila sababu ya kushinda ubingwa huu. Hii Tunabeba.